Rais Samia kukomba Wawekezaji na Wafanyabiashara wakubwa wa Kimarekani kuja kuwekeza Tanzania

Tanzania na utitiri wa taasisi zenye kuingiliana majukumu na kutoza kodi za kukomoana
 
Rais Samia Suluhu ameboresha mazingira ya uwekezaji na Tanzania tunafaidika sana kupitia wawekeza
Don’t be a liar mkuu wangu. Kipindi cha Dkt Magufuli Mazingira yalikuwa mazuri mno.
Yaani hii kitu aione waziri wa uwekezaji au Rais Samia. Mazingira yetu ni magumu sana. Kwanza achana na rushwa zilizopo kwa watendaji, bado vishoka, na kukosa uwazi wa kodi. Unaweza kuta hata mjumbe akakuibukia. Kwa ufupi rais Samia akitaka akumbukwe afute maujinga yote ya mtiririko wa kodi, regulator ili kurahisisha vibali na uwazi wa kodi.
 
Elewa maelezo kwanza, kasema sera zinabadilika kila rais mpya anavyoingia, sasa Rais Samia akitoka madarakani baada ya muda wake mwekezaji aanze kuwa na wasiwasi..
Dangote sijui kama yupo, aliwika sana wakati wa Kikwete
 
Unawashwa wewe wahuni tutakukuna usijali
 
Ofisi nyingi kwa sasa wala hata hazisemj kodi halali ni ipi wanazuga tu then unaambiwa toa kiasi flani utakuta ushu yako tayari mfano nenda Tanesco, nenda Ardhi unataka official land search, majibu utakayokutana nayo usiniulize.
 
Nana atakuja kuwekaza huko ili hali umeme amna
 
Bro Fanya mpango urudi Tu mirembe, mmarekani aje kuwekeza kwenye mgao wa maji na umeme Crazy
 
Nikutoe tongotongo, Mabeberu ndio wamewaita kuwaweka kichenipati waafrika ili kumnyima imfluensi mrusi zaidi na zaidi. Hakuna cha jasusi wala jambazi hapo.
 
Hivi yale mamikataba Mama alisaini kibao kule Dubai yameishia wapi?!.
Leo mmekuja na mipya.
Inaonesha hizi safari hazina tija kabisa kwa mwananchi wa kawaida zaidi ya utalii!.
 
Nonsense
 
Hivi yale mamikataba Mama alisaini kibao kule Dubai yameishia wapi?!.
Leo mmekuja na mipya.
Inaonesha hizi safari hazina tija kabisa kwa mwananchi wa kawaida zaidi ya utalii!.
Asilimia 99%,hizo ziara hazina tija. Hawa viongozi mizigo wanalikondesha taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…