Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Don’t be a liar mkuu wangu. Kipindi cha Dkt Magufuli Mazingira yalikuwa mazuri mno.Rais Samia Suluhu ameboresha mazingira ya uwekezaji na Tanzania tunafaidika sana kupitia wawekeza
Yaani hii kitu aione waziri wa uwekezaji au Rais Samia. Mazingira yetu ni magumu sana. Kwanza achana na rushwa zilizopo kwa watendaji, bado vishoka, na kukosa uwazi wa kodi. Unaweza kuta hata mjumbe akakuibukia. Kwa ufupi rais Samia akitaka akumbukwe afute maujinga yote ya mtiririko wa kodi, regulator ili kurahisisha vibali na uwazi wa kodi.uwekezaji Tanzania ni mgumu sana kutokana na matatizo tuliyonayo;
i)Umeme usioaminika
ii) Matatizo ya maji
iii) kodi ambazo hazieleweki
iv) Rushwa
v) Uaminifu kwa watu ni mdogo sana
Kuna jamaa mmoja alikuwa nchi fulani southern Africa. akauza vitu vyake vyote ili akawekeze Tanzania. Jamaa mwenyewe aikuwa Muitaliano. Cha moto alikiona maana alifilisika na kuishia kurudi Italy akiwa maskini. Sasa hivi anaishi kwa pension. Kuwekeza Tanzania risk ni kubwa sana. Ni watu kama wahindi na wachina waliozoea kutoa rushwa ndiyo wanaweza kuja lakini kwa mzungu hapo sijui.
Dangote sijui kama yupo, aliwika sana wakati wa KikweteElewa maelezo kwanza, kasema sera zinabadilika kila rais mpya anavyoingia, sasa Rais Samia akitoka madarakani baada ya muda wake mwekezaji aanze kuwa na wasiwasi..
Unawashwa wewe wahuni tutakukuna usijaliNdugu zangu, Rais Samia Ni zaidi ya kiongozi, Ni zaidi ya Mwanasiasa,Ni zaidi ya mwanadiplomasia,Ni zaidi ya jasusi wa kiuchumi,Ni zaidi ya komandoo wa Vita ya kiuchumi, Rais Mama Samia Ni mchanganyiko wa hivyo vyote,Ni mjumuiko wa hayo yote, Ni muunganiko wa hayo yote, Ndani yake utayaona hayo yote,Ni Rais kweli kweliii,Ni Rais anayejuwa maana ya kiapo Cha Urais alicho apa, Anajuwa yupo hapo kwa ajili ya Tanzania na Watanzania,Anajuwa Nini anafanya, Nini anatakiwa afanye kwa ajili ya Taifa hili.
Rais Samia anajuwa kuzivuta fursa popote pale katika uso wa Dunia kwa ajili ya watanzania,Anajuwa kunasa mitandao ya kifursa kwa ajili yetu, Ndio maana tunaona ndani ya muda mfupi wa uongozi wake namna wawekezaji na watalii walivyo miminika na kutiririka hapa nchini, h ii yote ni kutokana na jitihada za kidiplomasia zilizofanywa na Rais Samia. Hii yote Ni kutokana na ushawishi alionao Rais Samia kitaifa na kimataifa,Hii yote ni kutokana na namna Rais Samia anavyokubalika na kuungwa mkono na watu mbalimbali,hii yote ni kutokana na heshima kubwa aliyojijengea na kulijengea Taifa letu katika Sura ya kimataifa ambayo imeifanya Tanzania kuaminika na kuwa chaguo namba moja la wawekezaji na watalii.
Sasa Rais Samia yupo Marekani kwa mualiko maalumu wa Rais Wa Marekani Joe Biden, Watanzania tutarajie mengi kutoka kwa Rais wetu,kitakuwa ni kishindo Cha mafuriko ya fursa nchini, Naamini anakwenda kuvuta wawekezaji na wafanyabiashara Wakubwa, Tutegemee na kutarajia fursa mbalimbali za kiuchumi kutiririkia nchini mwetu. Wapo viongozi wengi huko wa mataifa mengine,Lakini simuoni wa kushindana na Rais Samia kifursa,simuoni wa kuwakomba wawekezaji Zaid ya Rais Samia, simuoni wakumzidi ushawishi Rais Samia na Tanzania yetu,Tanzania Ni kubwa, Rais Samia Ni Maarufu na mashuhuri, huyu Ni Mama wa shoka,lazima vyombo vya habari vya kimataifa vitamani kufanya Naye mazungumzo ya masuala mbalimbali, lazima wawekezaji watamani kuonana na Rais Samia.
Rais wetu Mpendwa Ni Nyota iwakayo inayoweza kuwaongoza wavuvi Ziwani,Tanzania yetu lazima ing'ae ,lazima ivune fursa,lazima tunufaike na ziara hii ya Rais wetu, Lazima itikise na kutetemesha,lazima inase mabillioni ya kiuwekezaji kuja kwetu, lazima tupate madollar ya Kimarekani kupitia uwekezaji,lazima Tunufaike.
Ndugu zangu watanzania Rais wetu yupo kazini,sote tunamuona namna anavyoipambania nchi yetu,Tumuunge mkono na kumtia moyo,Tumpe Faraja na kumwombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania,Hakika tutafurahi wenyewe Kama ambavyo Tumeona Taifa likipiga Hatua mbele za kimaendeleo ndani ya muda mfupi katika kila Secta.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.:0742-676627
Ofisi nyingi kwa sasa wala hata hazisemj kodi halali ni ipi wanazuga tu then unaambiwa toa kiasi flani utakuta ushu yako tayari mfano nenda Tanesco, nenda Ardhi unataka official land search, majibu utakayokutana nayo usiniulize.Don’t be a liar mkuu wangu. Kipindi cha Dkt Magufuli Mazingira yalikuwa mazuri mno.
Yaani hii kitu aione waziri wa uwekezaji au Rais Samia. Mazingira yetu ni magumu sana. Kwanza achana na rushwa zilizopo kwa watendaji, bado vishoka, na kukosa uwazi wa kodi. Unaweza kuta hata mjumbe akakuibukia. Kwa ufupi rais Samia akitaka akumbukwe afute maujinga yote ya mtiririko wa kodi, regulator ili kurahisisha vibali na uwazi wa kodi.
Nana atakuja kuwekaza huko ili hali umeme amnaNdugu zangu, Rais Samia Ni zaidi ya kiongozi, Ni zaidi ya Mwanasiasa,Ni zaidi ya mwanadiplomasia,Ni zaidi ya jasusi wa kiuchumi,Ni zaidi ya komandoo wa Vita ya kiuchumi, Rais Mama Samia Ni mchanganyiko wa hivyo vyote,Ni mjumuiko wa hayo yote, Ni muunganiko wa hayo yote, Ndani yake utayaona hayo yote,Ni Rais kweli kweliii,Ni Rais anayejuwa maana ya kiapo Cha Urais alicho apa, Anajuwa yupo hapo kwa ajili ya Tanzania na Watanzania,Anajuwa Nini anafanya, Nini anatakiwa afanye kwa ajili ya Taifa hili.
Rais Samia anajuwa kuzivuta fursa popote pale katika uso wa Dunia kwa ajili ya watanzania,Anajuwa kunasa mitandao ya kifursa kwa ajili yetu, Ndio maana tunaona ndani ya muda mfupi wa uongozi wake namna wawekezaji na watalii walivyo miminika na kutiririka hapa nchini, h ii yote ni kutokana na jitihada za kidiplomasia zilizofanywa na Rais Samia. Hii yote Ni kutokana na ushawishi alionao Rais Samia kitaifa na kimataifa,Hii yote ni kutokana na namna Rais Samia anavyokubalika na kuungwa mkono na watu mbalimbali,hii yote ni kutokana na heshima kubwa aliyojijengea na kulijengea Taifa letu katika Sura ya kimataifa ambayo imeifanya Tanzania kuaminika na kuwa chaguo namba moja la wawekezaji na watalii.
Sasa Rais Samia yupo Marekani kwa mualiko maalumu wa Rais Wa Marekani Joe Biden, Watanzania tutarajie mengi kutoka kwa Rais wetu,kitakuwa ni kishindo Cha mafuriko ya fursa nchini, Naamini anakwenda kuvuta wawekezaji na wafanyabiashara Wakubwa, Tutegemee na kutarajia fursa mbalimbali za kiuchumi kutiririkia nchini mwetu. Wapo viongozi wengi huko wa mataifa mengine,Lakini simuoni wa kushindana na Rais Samia kifursa,simuoni wa kuwakomba wawekezaji Zaid ya Rais Samia, simuoni wakumzidi ushawishi Rais Samia na Tanzania yetu,Tanzania Ni kubwa, Rais Samia Ni Maarufu na mashuhuri, huyu Ni Mama wa shoka,lazima vyombo vya habari vya kimataifa vitamani kufanya Naye mazungumzo ya masuala mbalimbali, lazima wawekezaji watamani kuonana na Rais Samia.
Rais wetu Mpendwa Ni Nyota iwakayo inayoweza kuwaongoza wavuvi Ziwani,Tanzania yetu lazima ing'ae ,lazima ivune fursa,lazima tunufaike na ziara hii ya Rais wetu, Lazima itikise na kutetemesha,lazima inase mabillioni ya kiuwekezaji kuja kwetu, lazima tupate madollar ya Kimarekani kupitia uwekezaji,lazima Tunufaike.
Ndugu zangu watanzania Rais wetu yupo kazini,sote tunamuona namna anavyoipambania nchi yetu,Tumuunge mkono na kumtia moyo,Tumpe Faraja na kumwombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania,Hakika tutafurahi wenyewe Kama ambavyo Tumeona Taifa likipiga Hatua mbele za kimaendeleo ndani ya muda mfupi katika kila Secta.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.:0742-676627
Bro Fanya mpango urudi Tu mirembe, mmarekani aje kuwekeza kwenye mgao wa maji na umeme CrazyNdugu zangu, Rais Samia Ni zaidi ya kiongozi, Ni zaidi ya Mwanasiasa,Ni zaidi ya mwanadiplomasia,Ni zaidi ya jasusi wa kiuchumi,Ni zaidi ya komandoo wa Vita ya kiuchumi, Rais Mama Samia Ni mchanganyiko wa hivyo vyote,Ni mjumuiko wa hayo yote, Ni muunganiko wa hayo yote, Ndani yake utayaona hayo yote,Ni Rais kweli kweliii,Ni Rais anayejuwa maana ya kiapo Cha Urais alicho apa, Anajuwa yupo hapo kwa ajili ya Tanzania na Watanzania,Anajuwa Nini anafanya, Nini anatakiwa afanye kwa ajili ya Taifa hili.
Rais Samia anajuwa kuzivuta fursa popote pale katika uso wa Dunia kwa ajili ya watanzania,Anajuwa kunasa mitandao ya kifursa kwa ajili yetu, Ndio maana tunaona ndani ya muda mfupi wa uongozi wake namna wawekezaji na watalii walivyo miminika na kutiririka hapa nchini, h ii yote ni kutokana na jitihada za kidiplomasia zilizofanywa na Rais Samia. Hii yote Ni kutokana na ushawishi alionao Rais Samia kitaifa na kimataifa,Hii yote ni kutokana na namna Rais Samia anavyokubalika na kuungwa mkono na watu mbalimbali,hii yote ni kutokana na heshima kubwa aliyojijengea na kulijengea Taifa letu katika Sura ya kimataifa ambayo imeifanya Tanzania kuaminika na kuwa chaguo namba moja la wawekezaji na watalii.
Sasa Rais Samia yupo Marekani kwa mualiko maalumu wa Rais Wa Marekani Joe Biden, Watanzania tutarajie mengi kutoka kwa Rais wetu,kitakuwa ni kishindo Cha mafuriko ya fursa nchini, Naamini anakwenda kuvuta wawekezaji na wafanyabiashara Wakubwa, Tutegemee na kutarajia fursa mbalimbali za kiuchumi kutiririkia nchini mwetu. Wapo viongozi wengi huko wa mataifa mengine,Lakini simuoni wa kushindana na Rais Samia kifursa,simuoni wa kuwakomba wawekezaji Zaid ya Rais Samia, simuoni wakumzidi ushawishi Rais Samia na Tanzania yetu,Tanzania Ni kubwa, Rais Samia Ni Maarufu na mashuhuri, huyu Ni Mama wa shoka,lazima vyombo vya habari vya kimataifa vitamani kufanya Naye mazungumzo ya masuala mbalimbali, lazima wawekezaji watamani kuonana na Rais Samia.
Rais wetu Mpendwa Ni Nyota iwakayo inayoweza kuwaongoza wavuvi Ziwani,Tanzania yetu lazima ing'ae ,lazima ivune fursa,lazima tunufaike na ziara hii ya Rais wetu, Lazima itikise na kutetemesha,lazima inase mabillioni ya kiuwekezaji kuja kwetu, lazima tupate madollar ya Kimarekani kupitia uwekezaji,lazima Tunufaike.
Ndugu zangu watanzania Rais wetu yupo kazini,sote tunamuona namna anavyoipambania nchi yetu,Tumuunge mkono na kumtia moyo,Tumpe Faraja na kumwombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania,Hakika tutafurahi wenyewe Kama ambavyo Tumeona Taifa likipiga Hatua mbele za kimaendeleo ndani ya muda mfupi katika kila Secta.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.:0742-676627
Jamaa anatafuta uteuzi kwa bidii kweli. Halafu anajiita mzalendo wakati uhalisia ni njaa na uchu wa kupata uteuzi ndio vina msumbua.Weka na picha kabisa unaweza kuambulia nafasi huko UWT mwenzako Suphian Juma ameshapata ulaji huko
Kuwa makini, unaweza kujikua na wewe uko njiani.Hivi quality ya waTanzania ndiyo imekuwa hivi? Niepushe
Halafu huyu chawa inaonekana ana njaa sana. Sipati picha siku akipata damu ya kunyonya. (Uteuzi)- Kuna mtu atanyonywa hadi akauke.....Chawa pro Max.
Mkuu, unajitolea au unalipwa?kuna kitu umepungukiwa kichwani
Nikutoe tongotongo, Mabeberu ndio wamewaita kuwaweka kichenipati waafrika ili kumnyima imfluensi mrusi zaidi na zaidi. Hakuna cha jasusi wala jambazi hapo.Ndugu zangu, Rais Samia Ni zaidi ya kiongozi, Ni zaidi ya Mwanasiasa,Ni zaidi ya mwanadiplomasia,Ni zaidi ya jasusi wa kiuchumi,Ni zaidi ya komandoo wa Vita ya kiuchumi, Rais Mama Samia Ni mchanganyiko wa hivyo vyote,Ni mjumuiko wa hayo yote, Ni muunganiko wa hayo yote, Ndani yake utayaona hayo yote,Ni Rais kweli kweliii,Ni Rais anayejuwa maana ya kiapo Cha Urais alicho apa, Anajuwa yupo hapo kwa ajili ya Tanzania na Watanzania,Anajuwa Nini anafanya, Nini anatakiwa afanye kwa ajili ya Taifa hili.
Rais Samia anajuwa kuzivuta fursa popote pale katika uso wa Dunia kwa ajili ya watanzania,Anajuwa kunasa mitandao ya kifursa kwa ajili yetu, Ndio maana tunaona ndani ya muda mfupi wa uongozi wake namna wawekezaji na watalii walivyo miminika na kutiririka hapa nchini, h ii yote ni kutokana na jitihada za kidiplomasia zilizofanywa na Rais Samia. Hii yote Ni kutokana na ushawishi alionao Rais Samia kitaifa na kimataifa,Hii yote ni kutokana na namna Rais Samia anavyokubalika na kuungwa mkono na watu mbalimbali,hii yote ni kutokana na heshima kubwa aliyojijengea na kulijengea Taifa letu katika Sura ya kimataifa ambayo imeifanya Tanzania kuaminika na kuwa chaguo namba moja la wawekezaji na watalii.
Sasa Rais Samia yupo Marekani kwa mualiko maalumu wa Rais Wa Marekani Joe Biden, Watanzania tutarajie mengi kutoka kwa Rais wetu,kitakuwa ni kishindo Cha mafuriko ya fursa nchini, Naamini anakwenda kuvuta wawekezaji na wafanyabiashara Wakubwa, Tutegemee na kutarajia fursa mbalimbali za kiuchumi kutiririkia nchini mwetu. Wapo viongozi wengi huko wa mataifa mengine,Lakini simuoni wa kushindana na Rais Samia kifursa,simuoni wa kuwakomba wawekezaji Zaid ya Rais Samia, simuoni wakumzidi ushawishi Rais Samia na Tanzania yetu,Tanzania Ni kubwa, Rais Samia Ni Maarufu na mashuhuri, huyu Ni Mama wa shoka,lazima vyombo vya habari vya kimataifa vitamani kufanya Naye mazungumzo ya masuala mbalimbali, lazima wawekezaji watamani kuonana na Rais Samia.
Rais wetu Mpendwa Ni Nyota iwakayo inayoweza kuwaongoza wavuvi Ziwani,Tanzania yetu lazima ing'ae ,lazima ivune fursa,lazima tunufaike na ziara hii ya Rais wetu, Lazima itikise na kutetemesha,lazima inase mabillioni ya kiuwekezaji kuja kwetu, lazima tupate madollar ya Kimarekani kupitia uwekezaji,lazima Tunufaike.
Ndugu zangu watanzania Rais wetu yupo kazini,sote tunamuona namna anavyoipambania nchi yetu,Tumuunge mkono na kumtia moyo,Tumpe Faraja na kumwombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania,Hakika tutafurahi wenyewe Kama ambavyo Tumeona Taifa likipiga Hatua mbele za kimaendeleo ndani ya muda mfupi katika kila Secta.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.:0742-676627
NonsenseNdugu zangu, Rais Samia Ni zaidi ya kiongozi, Ni zaidi ya Mwanasiasa,Ni zaidi ya mwanadiplomasia,Ni zaidi ya jasusi wa kiuchumi,Ni zaidi ya komandoo wa Vita ya kiuchumi, Rais Mama Samia Ni mchanganyiko wa hivyo vyote,Ni mjumuiko wa hayo yote, Ni muunganiko wa hayo yote, Ndani yake utayaona hayo yote,Ni Rais kweli kweliii,Ni Rais anayejuwa maana ya kiapo Cha Urais alicho apa, Anajuwa yupo hapo kwa ajili ya Tanzania na Watanzania,Anajuwa Nini anafanya, Nini anatakiwa afanye kwa ajili ya Taifa hili.
Rais Samia anajuwa kuzivuta fursa popote pale katika uso wa Dunia kwa ajili ya watanzania,Anajuwa kunasa mitandao ya kifursa kwa ajili yetu, Ndio maana tunaona ndani ya muda mfupi wa uongozi wake namna wawekezaji na watalii walivyo miminika na kutiririka hapa nchini, h ii yote ni kutokana na jitihada za kidiplomasia zilizofanywa na Rais Samia. Hii yote Ni kutokana na ushawishi alionao Rais Samia kitaifa na kimataifa,Hii yote ni kutokana na namna Rais Samia anavyokubalika na kuungwa mkono na watu mbalimbali,hii yote ni kutokana na heshima kubwa aliyojijengea na kulijengea Taifa letu katika Sura ya kimataifa ambayo imeifanya Tanzania kuaminika na kuwa chaguo namba moja la wawekezaji na watalii.
Sasa Rais Samia yupo Marekani kwa mualiko maalumu wa Rais Wa Marekani Joe Biden, Watanzania tutarajie mengi kutoka kwa Rais wetu,kitakuwa ni kishindo Cha mafuriko ya fursa nchini, Naamini anakwenda kuvuta wawekezaji na wafanyabiashara Wakubwa, Tutegemee na kutarajia fursa mbalimbali za kiuchumi kutiririkia nchini mwetu. Wapo viongozi wengi huko wa mataifa mengine,Lakini simuoni wa kushindana na Rais Samia kifursa,simuoni wa kuwakomba wawekezaji Zaid ya Rais Samia, simuoni wakumzidi ushawishi Rais Samia na Tanzania yetu,Tanzania Ni kubwa, Rais Samia Ni Maarufu na mashuhuri, huyu Ni Mama wa shoka,lazima vyombo vya habari vya kimataifa vitamani kufanya Naye mazungumzo ya masuala mbalimbali, lazima wawekezaji watamani kuonana na Rais Samia.
Rais wetu Mpendwa Ni Nyota iwakayo inayoweza kuwaongoza wavuvi Ziwani,Tanzania yetu lazima ing'ae ,lazima ivune fursa,lazima tunufaike na ziara hii ya Rais wetu, Lazima itikise na kutetemesha,lazima inase mabillioni ya kiuwekezaji kuja kwetu, lazima tupate madollar ya Kimarekani kupitia uwekezaji,lazima Tunufaike.
Ndugu zangu watanzania Rais wetu yupo kazini,sote tunamuona namna anavyoipambania nchi yetu,Tumuunge mkono na kumtia moyo,Tumpe Faraja na kumwombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania,Hakika tutafurahi wenyewe Kama ambavyo Tumeona Taifa likipiga Hatua mbele za kimaendeleo ndani ya muda mfupi katika kila Secta.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.:0742-676627
Asilimia 99%,hizo ziara hazina tija. Hawa viongozi mizigo wanalikondesha taifa.Hivi yale mamikataba Mama alisaini kibao kule Dubai yameishia wapi?!.
Leo mmekuja na mipya.
Inaonesha hizi safari hazina tija kabisa kwa mwananchi wa kawaida zaidi ya utalii!.