mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Jiandaeni kisaikologia kusikia mgao wa Zanzibar ulioenda shule kwa kiwango cha PhDHuku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear walipaji wa haya madeni ni sisi wananchi!
View attachment 2221901
Petroli ilikuwa inauzwa sh 3,170/= kwenye kituo kimoja cha mafuta, kwa hiyo serikali imepunguza sh 29/= kwa hiyo bei itakuwa sh 3,141/= !!!Kukopa ni sawa lakini je zinatumikaje? Si zinakuja tu kugawanwa na haya majibwa na tai yenye matumbo yasiyoshiba kamwe? Pathetic!
View attachment 2221972
Badala ya kupata Rais, tumepata Rahisi. Tanzania itafika 2030 ikiwa ICU ya madeni. Ee mungu tunusuru na balaa.Huku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear walipaji wa haya madeni ni sisi wananchi!
View attachment 2221901
Ndugu yangu usiniulize mimi. Sina msaada wo wote kwako. Nenda ukamuulize Makamba kama hatakuwa bize na ulambaji wa asali ya taifa.P
Petroli ilikuwa inauzwa sh 3,170/= kwenye kituo kimoja cha mafuta, kwa hiyo serikali imepunguza sh 29/= kwa hiyo bei itakuwa sh 3,141/= !!!
Hii ni sawa na punguzo la bei kwa asilimia 0.91 (0.91%)!!!
Lengo la punguzo ni kuleta unafuu, je punguzo la asilimia 0.91 limeleta unafuu??
Anakopa kwa ajili ya kazi gani?
Hawa wa halmashauri, taasisi na mashirika ya umma wanakata Kamba na kula mbaliKwa ninavyoona,mama anazisaka pesa sana,shida ni walaji,zikitua tu,watu wanazila halafu zile chache wanatuzugia kupeleka maeneo husika.Upigaji kwenye ma-halmashauri unasemwa kua ni Mkubwa sana,achilia sehemu nyingine.Pole yao wale ambao walitumbulia enzi za mzee JPM,maana wenzao duuuh! wanakula raha mstarehe.
Ingekuwa busara sana hata kama humpendi Rais Samia, kukaa kimyaMpumbavu huyo kazi anayo weza ni kuny* tu
Huku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear walipaji wa haya madeni ni sisi wananchi!
View attachment 2221901
Mbowe kawaambia waache matusi lakini wao wanajifanya hawasikii.Ingekuwa busara sana hata kama humpendi Rais Samia, kukaa kimya
Au basi, hata kama unamkosoa ndio kwanini utumie lugha ya kumtweza kwa kiwango hiki...?
It's not right. It's not fair...
Unajipalilia hukumu isiyo na ulazima. Mpende na mwombee adui yako bila kujali kiwango cha maumivu anayokusababishia..!
Hii ni kanuni ya Mungu na muumba wa vitu vyote ukiwemo wewe binadamu..
Mkiambiwa mlipe Kodi kuendesha nchi na kugharamia miradi, mnapanua midomo na vingine, unataka hiyo miradi iliyoanzishwa kwa mikopo na JPM iishe bila kukopa?.Huku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear walipaji wa haya madeni ni sisi wananchi!
View attachment 2221901
Hata tukiuzwa hakuna wakutununua.1billion USD from IMF!??? Tutauzwa tunakoelekea.
Washukuru MWAMBA amelala pale CHATO,ngoja watese kwa zamu,lakini siyo fair kabisa.Hawa wa halmashauri, taasisi na mashirika ya umma wanakata Kamba na kula mbali