Huyu ni mshauri wa chief Hangaya hivyo kuna umuhimu wa kumpa shule apate kuelewa!! Hajui humu kuna watu wamefundisha hata hao waalimu wake hapo UDSM!
Ukiniuliza mimi nilichojifunza vita kubwa kwenye siasa za nchi hii kupitia kiongozi mzalendo kama Magufuli it’s about who wins in the war of disinformation in an attempt to influence the wider society by way exploiting the mass ignorance.
Kila binadamu ana mapungufu yake, binafsi sijawahi kuziafiki kabisa insecurities za Magufuli ata alipokuwa hai za kupambana watu aliozani wapinzani wake ndani ya CCM, jinsi alivyokata watu tofauti na kanuni za chama kwenye uchaguzi mkuu kulikuwa na umungu mtu, na maamuzi yake ya kiimani badala ya logic in some rare instances kubwa zaidi how he handled COVID na mambo mingine machache ambayo yalikuwa costly.
But then I look at the bigger picture mengi aliyoyafanya yalikuwa ni ya lazima na yameisaidia nchi sana. Sasa basi yale mazuri yalitakiwa kuenziwa na mabaya yake atajijua yeye na mungu wake huko halipo.
Tatizo lilipo leo ni wahuni kutumia mabaya yake machache kama vile ndio uongozi wake wote ulikuwa ivyo na autafai kuiga.
Kwa nchi yetu ni rahisi sana kuwachota wajinga wajinga kwenye taifa ili kumeza ujinga kwa msaada wa chawa wa wahuni walio wengi na mama mwenyewe akiwa puppet on the string wa wahuni kwa sasa.
Ila nadhani baadhi ya wahuni washaanza kuona kuporomoka kwa kasi ya haraka alipotufikisha Magufuli wameanza kujifunza kumbe swala la kuendesha nchi on the bigger picture sio swala la mzaha kama walivyodhanI.
Kwa mfano: ni hivi kuna watu wanalaumu mbinu za Magufuli za kupambana na wakwepa kodi bila ya kufahamu sheria zetu za kodi zinasemaje
Ukishakuwa mkwepa kodi wengi wetu atufahamu taratibu zinataka TRA wachukue hatua gani (ata Mwigulu mpaka anakuwa waziri alikuwa hafahamu ni sheria kwenye uchunguzi kurudi nyuma mpaka miaka mitano) halafu wafanyabiashara wengi hasa wadogo ata concept ya VAT ilikuwa shida mpaka Magufuli akaagiza TRA ebu watoe somo pia.
Hizi hatua zetu ni cha mtoto niamini hizo nchi za ulaya wana random testing ukisikia tu umechaguliwa kuja kukaguliwa for personal income tax au business tax you better have all your five years evidence ready; vinginevyo utatia akili. Na ukisikia wanakuja kukukagua for tax fraud or tax evasion ujue hilo ni swala la records zako ambazo tayari wanazo na zina utata ndio wanakuja kukuhakiki mziki wake sio mdogo kabisa.
Hayo mambo ya kodi sheria zake za nchi yoyote jinsi ya kufanya mambo zinatokana na adaptation ya international frameworks.
Sasa kwetu TRA inapofanya kazi kwa standard na taratibu za tax investigation za kimataifa, kwenye jamii yenye uelewa mdogo including walipa kuhusu masuala ya sheria zinasemaje au utaratibu wenyewe wa kukaguliwa unafananaje. Ukizingatia taratibu zenye za upekuzi zinahusisha bank seizure for purposes of matching concepts (bank reconciliation) swala ambalo uwezi kufanya bila ya kuingia kwenye account ya biashara.
Kwenye mazingira kama hayo yanayoweza onekana ya ukatili wakati ni standard procedures za ulimwenguni unahitaji mtu kama kigogo tu kupotosha kinachoendelea ni chuki kwa wafanyabiashara na wale wapuuzi wa Twitter kusambaza upuuzi tayari una fake news.
Ukiwa kiongozi wa ovyo kama bi tozo na kuwasikiliza Twitter Republic wana mtazamo gani inakula kwako kwenye makusanyo; soon unajikuta uwezi kulipa madeni ukiwalegezea wafanyabiashara.
Huo ni mfano mmoja sasa to counter argue inabidi utumie muda mwingi kuto elimu swala ambalo Magufuli hakuwa na muda nalo.
Hapo ndio wanapotumiwa mafala kama huyu
The Sunk Cost Fallacy fallacy yeye anataka watu wote wanaostahili kulipa kodi walipe kilicho halali je anajua sheria zinasemaje kuhusu namna ya kuchunguza kodi ilipwe halali kwa kwa wakawaida; aelewi ili ndoto zake zifikiwe hatua zenyewe kutokana na uelewa mdogo ndani ya jamii yetu inabidi kiongozi abebe mzigo wa lawama za kutungiwa uongo ikibidi ilimradi TRA wadai kodi stahiki kama serikali itimize wajibu wake. .