Rais Samia kukubali kukutana CHADEMA ni kuwasaliti Watanzania wazalendo

Na bado utalalama sana.
 
Hata Yesu alikuja kwa ajili ya wenye njaa na wanyonge!
 
Bro usingechangia maana sio lazima. Ila Chadema sio wazelendo full stop.
 
Chadema ni wazalendo. Sema tu kosa kubwa walilofanya ni kujikwa kwenye Mwamba(rock or stone).JPM Alikuwa ni Jiwe walilokataa waashi ,kila aliyejikwa alisambaratika. Rejea UKAWA,CHADEMA, amerudi mbuge mmoja tu. Sasa CCM Wawe makini sana kuchafua jina la huyo Yohana.maana historia inaonye huwezi kuwa salama kwa kupigana na JIWE. Mwanamageuzi JPM ni leader aliyo litaja jina la Mungu Zaidi alimetegemea Mungu katika utawala wake. Wezi na wachawi,hawamkubali
 
Uzalendo=Nationalism
Acheni kudanganya watu, uzalendo hauhamisishwi, kwa kauli mbiu, bali huingia kwa watu wenyewe tu kutokana na mambo mengi anayofanyiwa na nchi yake, hujiulizi kwanini kwa wazungu UZALENDO kwa nchi zao ni mkubwa sana?yaani nchi inaweza kuingia vitani na nchi nyingine kisa raia wake mmoja ametendewa ndio sivyo??
Hapa mnakuja mnadanganywa eti kujiita mzalendo tayari umekuwa mzalendo, huku upigaji wa mali za umma uko pale pale, wale masikini unaowambia uzalendo hata panadol tu hospital hakuna?!!anayewaamsha usingizini atapewa majina mabaya, mala anatumika na MABEBERU!!
 
CCM(TANU/ASP) ingejaa wazalendo tangu tupate uhuru hii nchi ingekuwa mbali sana kwa maendeleo. Tusingekuwa hapa tulipo!

Wanasiasa karibu wote hapa Tz (kwa maoni yangu) ni wanafiki tu....at least kwa mantiki yako.
 
Naona kama unaenda nje ya mada.
 
Si kwamba hauna akili... Hapana unazo tena zakutosha lakini kwa makusudi unaamua kuzitumia vibaya
 
Nina uhakika ukikanyaga Milembe unalazwa
 
Niliposoma aya ya kwanza nikajua unawaongelea ccm maana mule mule yaani.
 
Rais anashughulika na watu waliochongea ndege kukamatwa? Waliofurahi watu wafe kwa korona? Hii sio sawa.
Mbona sisi tulikuwab tunashughulika na rais aliyekuwa akitukana wananchi na kufanya nchi kama duka lake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…