PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025

 
Tuvishtaki hivyo vyombo vya habari ili tulipwe fidia ya mabilioni.
 
Na aliye sema walioamdamana ni watu kutoka njee ya nchi nani mpotoshaji hapo
 
Vitu vya kutia aibu hivi ni vema muwe mna kaa kmy tu vinginevyo mtatuchochea hasira zetu tuwajibu vya rohoni mtufunge bure kwa matumizi mabaya ya mtandao
 
Vitu vya kutia aibu hivi ni vema muwe mna kaa kmy tu vinginevyo mtatuchochea hasira zetu tuwajibu vya rohoni mtufunge bure kwa matumizi mabaya ya mtandao
 
Back
Top Bottom