figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu
Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili).
Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea Lugha zaidii ya Nne kwa ufasaha.
Rais Samia hapendi kujitapa kwqmba anajua Lugha. Ila leo alipokuwa anazungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Badr Hamad Hamood Al Busaidi ndo nimegundua. Ila kucheka anacheka kiswahili.
Huo Ujumbe ulifika leo Ikulu ya Tunguu Zanzibar.
Freeman Mbowe leo wakati anahutubia baraza la Wanawake la CHADEMA(BAWACHA), kasema Rais Samia ni Mtu Poa, akamaliza kwa kusema Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni.
Msihusishe hii taarifa na Ngorongoro.