Rais Samia kumbe anajua kuongea Kiarabu Vizuri. Nimemsikia alipokuwa Ikulu ya Tunguu Zanzibar

Kama vile wazungu walivyogundua Mlima Kilimanjaro na Ziwa Victoria.

Amandla...
Nani ameongea hayo? Wazungu wamewakuta mababu zenu. Lakini huku Zanzibar mababu zenu hawekupo maana hawakuwa na uwezo wa kuvuka bahari.
 
Mwinyi si mbara mwenzako? Mbona unamsakama tena? Au ndio udini unakusumbua?
Hamkawii kukimbilia kwenye udini! Dini na ubara umeingiaje hapa? Wewe ndie uliyemtaja Mwinyi sio mimi. Wewe ndie uliyesema kuwa waarabu wamekuwa wakiwinda Ngorongoro toka zamani. Ni ukweli usiofichika kuwa waarabu waliopewa vitalu na Ndolanga wali abuse vibali hivyo. Ulitaka tusiseme kwa kuwaogopa kwa sababu ni waarabu na waislamu? Ubara wa Mwinyi unanihusu nini?
Nyie vijana wa juzi mna shida sana.

Amandla...
 
Nani ameongea hayo? Wazungu wamewakuta mababu zenu. Lakini huku Zanzibar mababu zenu hawekupo maana hawakuwa na uwezo wa kuvuka bahari.
Na Mafia walikuweko waarabu? na kwenye maziwa makuu walikuwa wanavua waarabu? Babu zetu walikuwepo kila eneo la bara la Afrika. Waarabu hawana tofauti na makaburu ambao nao walikuwa wanadai walipofika Afrika ya Kusini hawakukuta mtu!

Amandla...
 
Neema ililetwa na watu wa Oman na wengine wa mashariki waliovumbua Zanzibar.

..hao wageni walivutiwa na neema iliyokuwepo Znz.

..kwa mfano, ardhi ya Znz yenye rutuba huwezi kusema ililetwa na Waomani.

..au hali nzuri ya hewa huwezi kusema ililetwa na Waomani au wageni wengine wowote.

..bahari yenye samaki na viumbe wengine haikuletwa na Waomani.
 
Hamkawii kukimbilia kwenye udini! Dini na ubara umeingiaje hapa? Wewe ndie uliyemtaja Mwinyi sio mimi. Wewe ndie uliyesema kuwa waarabu wamekuwa wakiwinda Ngorongoro toka zamani. Ni ukweli usiofichika kuwa waarabu waliopewa vitalu na Ndolanga wali abuse vibali hivyo. Ulitaka tusiseme kwa kuwaogopa kwa sababu ni waarabu na waislamu? Ubara wa Mwinyi unanihusu nini?
Nyie vijana wa juzi mna shida sana.

Amandla...
Ulipiga kelele walivyokuwa wanawinda baada ya awamu ya pili?
 
Na Mafia walikuweko waarabu? na kwenye maziwa makuu walikuwa wanavua waarabu? Babu zetu walikuwepo kila eneo la bara la Afrika. Waarabu hawana tofauti na makaburu ambao nao walikuwa wanadai walipofika Afrika ya Kusini hawakukuta mtu!

Amandla...
Zamani samaki walikuwa wengi. Unawaokota tuu ufukweni au karibu na ufukweni. Lakini ukisema mababu zenu walivuka bahari kufika visiwani, hakuna ushahidi huo.
 
..hao wageni walivutiwa na neema iliyokuwepo Znz.

..kwa mfano, ardhi ya Znz yenye rutuba huwezi kusema ililetwa na Waomani.

..au hali nzuri ya hewa huwezi kusema ililetwa na Waomani au wageni wengine wowote.

..bahari yenye samaki na viumbe wengine haikuletwa na Waomani.
Bila ya watu kuitumia ardhi nzuri, hali nzuri ya hewa, bahari iliyojaa samaki kuleta maendeleo hakuna maendeleo. Neema ililetwa na watu wa Oman na wengine wa mashariki waliovumbua Zanzibar.
 
Zamani samaki walikuwa wengi. Unawaokota tuu ufukweni au karibu na ufukweni. Lakini ukisema mababu zenu walivuka bahari kufika visiwani, hakuna ushahidi huo.
Nitakuthibitishia vipi kuhusu uwepo wa babu zetu Zanzibar na Pemba kabla ya waarabu kufika? Mtu ambae unaamini kuwa kuna wakati samaki walikuwa wanaokotwa tu karibu na ufukweni hauwezi kukubali ushahidi wowote hata ukikuangukia kichwani. Kwako wewe waarabu wako karibu na Mungu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom