Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Wewe chogo umeshaishi Oman? Au unarudia tu
Kwa hiyo unaamini kabisa Mwarabu anakuona wewe ni ndugu yake ? Waulize Wasomali hata wao huwa wanajiona Waarabu mpaka pale watakapokutana na Mwarabu mwenyewe na kukataliwa ndio wanaurudia Uafrika, ije kuwa wewe Mwarabu wa kuapia? Haki ya Mungu na mtume tena mimi Mwarabu, kama wewe ni Mwarabu kwa nini unahitaji kuapia ?