Rais Samia kumbe anajua kuongea Kiarabu Vizuri. Nimemsikia alipokuwa Ikulu ya Tunguu Zanzibar

Wazanzibari asili huwezi kuwaita wamanga. Machogo mna ubaguzi sana.
Unamuita nani Chogo we kima?
Kaeni mle tende tu na kazi mnayoiweza kuinamishwa.
Bila wabara nyie mngekufa kwa kula KASA wenye sumu na mabakuli yenu huko matakoni.
Tunawapa kila kitu mpaka pampers shenzy nyie.
 
images (81)~2.jpeg
 
Salaam Wakuu

Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili).

Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea Lugha zaidii ya Nne kwa ufasaha.

Rais Samia hapendi kujitapa kwqmba anajua Lugha. Ila leo alipokuwa anazungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Badr Hamad Hamood Al Busaidi ndo nimegundua. Ila kucheka anacheka kiswahili.

Huo Ujumbe ulifika leo Ikulu ya Tunguu Zanzibar.

Freeman Mbowe leo wakati anahutubia baraza la Wanawake la CHADEMA(BAWACHA), kasema Rais Samia ni Mtu Poa, akamaliza kwa kusema Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni.

Msihusishe hii taarifa na Ngorongoro.
View attachment 2143587
Hata manara anajua kiarabu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Oman wewe mtu mweusi wanakuita abdi, maana yake mtumwa, ila wewe nigga unamuita Mwarabu ndugu yako ?
Hiyo ni unrequited love!
Kwa waarabu waislamu kila mtu ni Abdi, even themselves, no one is excluded. Hata Mtume wao ni Mtumwa (Abd).

Pili kuwa mtumwa hakuondoshi udugu, watu wote wametokana na Adamu, ni ndugu, haijalishi tofauti zetu za kidini, rangi au makabila.
 
Mwinyi amekuwa Rais hivi karibuni. Na ni kweli chini ya utawala wake ndio tukaanza kusikia waarabu wanapewa maeneo ya kuwindia. Na taarifa za mtaani ni kuwa uwindaji wao ni wa kiharibifu sana.

Amandla...
Ni waarabu wanakula mema ya nchi yao
 
Neno abdi ,sio mtumwa,maana ni mja,wapo waarabu wanaitwa Abdi,wapo Abdallah,Abuod,Abeid,Abdul,Abdilah,yote ina maana ya mja(mtu).Acha kupotosha.Halafu katika muundo wa lugha ya kiarabu,majina hayatafisriwi.Hata mtume Muhammad,ambaye ni Muarabu,baba ake akiitwa Abdillah na babu Abdulmutwalib.
Usiwe unadanganywa ,kwenye vijiwe vya Pombe,ukadanganyika.

Kwa hiyo na wewe unamaamini kabisa kwamba Mwarabu wa Emirat anakuona wewe ndugu yake ?
 
Hicho kiarabu kilichoongewa hapo kiko wapi? kama mafundisho ya dini yake yameandikwa kwa kiarabu sioni ajabu yeye kujua kuongea kiarabu, hata wakatoliki wanaongea kilatini......
 
Salaam Wakuu

Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili).

Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea Lugha zaidii ya Nne kwa ufasaha.

Rais Samia hapendi kujitapa kwqmba anajua Lugha. Ila leo alipokuwa anazungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Badr Hamad Hamood Al Busaidi ndo nimegundua. Ila kucheka anacheka kiswahili.

Huo Ujumbe ulifika leo Ikulu ya Tunguu Zanzibar.

Freeman Mbowe leo wakati anahutubia baraza la Wanawake la CHADEMA(BAWACHA), kasema Rais Samia ni Mtu Poa, akamaliza kwa kusema Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni.

Msihusishe hii taarifa na Ngorongoro.

View attachment 2143587
Hajuwi, alikuwa ananukuu dua tu toka kwenye kitabu. Usikute hata wewe mwenyewe hujuwi kiarab ila umenukuu tu haya za kiarab toka kwenye vitabu
 
Hata asiponiona ni ndugu yake, hainisaidii wala hainipunguzii kitu.

Angalau wewe umeanza kujitambua, huwa nawaonea huruma sana Waafrika weusi wanaojiona ni Waarabu ukweli ni kwamba Waarabu hawawaelewi, hakuna watu wana classes kama Waarabu, kwanza kwa Mwarabu wa Syria au Emirat au hata Saudia hata tu Wamoroko au Algeria siyo Waarabu kwako na hawawakubali ije kuwa hawa wa huku Rufiji ?
 
Hata asiponiona ni ndugu yake, hainisaidii wala hainipunguzii kitu.

Angalau wewe umeanza kujitambua, huwa nawaonea huruma sana Waafrika weusi wanaojiona ni Waarabu ukweli ni kwamba Waarabu hawawaelewi, hakuna watu wana classes kama Waarabu, kwanza kwa Mwarabu wa Syria au Emirat au hata Saudia hata tu Wamoroko au Algeria siyo Waarabu kwako na hawawakubali ije kuwa hawa wa huku Rufiji ?
 
Salaam Wakuu

Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili).

Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea Lugha zaidii ya Nne kwa ufasaha.

Rais Samia hapendi kujitapa kwqmba anajua Lugha. Ila leo alipokuwa anazungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Badr Hamad Hamood Al Busaidi ndo nimegundua. Ila kucheka anacheka kiswahili.

Huo Ujumbe ulifika leo Ikulu ya Tunguu Zanzibar.

Freeman Mbowe leo wakati anahutubia baraza la Wanawake la CHADEMA(BAWACHA), kasema Rais Samia ni Mtu Poa, akamaliza kwa kusema Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni.

Msihusishe hii taarifa na Ngorongoro.

View attachment 2143587
Labda alikua anasoma dua wewe mndengereko bwana Mbonde ukàsema kiarabu...
 
Hata wewe naamini unakijua kidogo,maana jinsi ulivyoandika hili jina hadi inaleta raha ' Badr Hamad Hamood Al Busaidi '...
 
Salaam Wakuu

Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili).

Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea Lugha zaidii ya Nne kwa ufasaha.

Rais Samia hapendi kujitapa kwqmba anajua Lugha. Ila leo alipokuwa anazungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Badr Hamad Hamood Al Busaidi ndo nimegundua. Ila kucheka anacheka kiswahili.

Huo Ujumbe ulifika leo Ikulu ya Tunguu Zanzibar.

Freeman Mbowe leo wakati anahutubia baraza la Wanawake la CHADEMA(BAWACHA), kasema Rais Samia ni Mtu Poa, akamaliza kwa kusema Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni.

Msihusishe hii taarifa na Ngorongoro.

View attachment 2143587
Umeandika nini sa? Weka hiyo spitch ya kiarabu aloongea boya wew
 
...Teh teh teh 😂😂😂...umenivunja mbavu aisee...huyu Jamshid kwa sasa ana miaka zaidi ya 90, unaamini bado anautamani Usultani na uzee wote huo ?

Kwani Queen Elizabeth ana miaka mingapi? Kama huyo Jamshid hautamani kwasababu yake mwenyewe anaweza kuutamani kwa sababu ya wajukuu zake!! Imeshindikana kwa marehemu Seif Shariff Hamad basi waangalieni hao wajukuu wa Sultan uzao wa Sef Shariff!!!
 
...Teh teh teh 😂😂😂...umenivunja mbavu aisee...huyu Jamshid kwa sasa ana miaka zaidi ya 90, unaamini bado anautamani Usultani na uzee wote huo ?

Ili mradi msijemkasema hatukuwaonya ; kwani sisi wengine tuna maono, kama huamini muulize Bujibuji!
 
Back
Top Bottom