Ikowapi video akiongea? Hao kuna uwezekano mkubwa wanaongea kiswahili wala si ajabu!
Tena mimi nadhani wewe uko sahihi; hapo wanaongea Kiswahili lazima, Kwani kule Oman wengi wanaongea Kiswahili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikowapi video akiongea? Hao kuna uwezekano mkubwa wanaongea kiswahili wala si ajabu!
Nalo nenoHicho kiarabu kinamsaidiaje Bibi yako kule kijijini?
Oman wewe mtu mweusi wanakuita abdi, maana yake mtumwa, ila wewe nigga unamuita Mwarabu ndugu yako ?
Hiyo ni unrequited love!
Safi sana, Oman ni ndugu zetu kihistoria. Ni vizuri kuwakaribisha tulete maendeleo kwa kupitia utajiri wao wa mafuta.
Weka ushahidi wa video basi, maana hata Oman kuna raia kibao wanaongea Kiswahili na si ajabu hata hapo walikuwa wanabonga Kiswahili
Neema ililetwa na watu wa Oman na wengine wa mashariki waliovumbua Zanzibar.
Hajui. Vipi unawezaje kumshuhudia mtu ajua lugha na wewe huijui? Nilipomsikia akisema jumla moja tu ya Kiarabu, niligundua hajui Kiarabu. Kama una kumbukumbu, aliwahi kusema ' Annaas shaheed u-Llah' na kufasiri kuwa watu ni mashahidi wa Mwenyezi Mungu. Hakuna Mwarabu atasema hivyo. Maana naas= plural wakati shaheed= ni singular.
Ilibidi aseme 'Annaas shuhadaau Lillahi' if ya dig what I mean, body!
Hii haimaanishi chochote cha kumwondolea weledi wake. Kujua Kiarabu Tanzania si lazima, ingawaje kunaongeza hadhi. Yuko rais mmoja hata hakuwa anajua Kiingereza na 'it was fine'.
Watanzania waache obssession na lugha za watu wengine. Kama tungekifahamu Kiswahili vya kutosha na tukawa tunasoma na tunaandika....ingetosha!
Kwa hiyo na wewe unamaamini kabisa kwamba Mwarabu wa Emirat anakuona wewe ndugu yake ?
Angalau wewe umeanza kujitambua, huwa nawaonea huruma sana Waafrika weusi wanaojiona ni Waarabu ukweli ni kwamba Waarabu hawawaelewi, hakuna watu wana classes kama Waarabu, kwanza kwa Mwarabu wa Syria au Emirat au hata Saudia hata tu Wamoroko au Algeria siyo Waarabu kwako na hawawakubali ije kuwa hawa wa huku Rufiji ?
hawakuwa ndugu zetu bali na wakoloni wetuSafi sana, Oman ni ndugu zetu kihistoria. Ni vizuri kuwakaribisha tulete maendeleo kwa kupitia utajiri wao wa mafuta.
Kwa hiyo mafia walifikaje hawa watu weusi??, au alikwambia kuwa waafrika walikuwa hawavui baharini ni nani?, uvuvi ulianza zamani na historia inaonesha watu weusi walikuwepo Zanzibar mpaka mwarabu anafikaMajahazi waliyotumia Waarabu na wengine kuja nayo mpaka Zanzibar yanajulikana. Sasa na wewe utuonyeshe ushahidi wa mababu zako kuja mpaka Zanzibar. Acha porojo.
Ndugu yako ambae alikuwa anawakamata watumwa na kuwauza kama mifugo?, aliewafanyia kila aina ya ushenzi, maiti zilikuwa zimetapakaa pwani sababu ya watumwa waliokufa kwa mateso na hamna mwenye habari ya kuwazikaOman ni ndugu zetu, wakirudi tutawakaribisha. Huyo Okello ni chogo mwenzako, siyo Mzanzibari. Alifanya vamizi huku Zanzibar na kumwaga damu za wasio na hatia.
hahahahahahahMay be 50% or 60% wanaongea kiswahili. Huenda omani ikawa nchi ya kwanza duniani wa2 wake wanaongea kiswahili fasaha, na ya pili kwa waongeaji wengi baada ya Tanzania. Hao jamaa wamejaaliwa kushika lugha acha kabisa, na wanaipenda lugha ya kiswahili.....inatosha kusema hawa ni "Ndugu zetu wa damu kuliko kenya na uganda"
Allaah amjaarie mama samia afya njema, aijaarie Tanzania na Omani udugu uendelee kudumu.
Kiarabu[emoji818]
Kiswahili[emoji818]
Ila wewe dini imekuharibu SanaAcha roho mbaya babaa. Watu wa sampuli kama yako ni ngumu kutoka/kuendelea.
Kwanza nitakuwa mpumbavu mwarabu asemwe na mtu kama wewe and then nikusapoti au nikukalie kimya. Mwarabu ni ndugu yangu katika imani kuliko hata wewe usie muislamu. المسلم أخو المسلم
Majitu meusi sijui yalirogwa kwa uchawi gani, wewe babu zako walikamatwa huko Tabora wakapelekwa huko visiwani kupalizi minazi mara hii hauwatambui weusi wenzako? Kwahiyo mwarabu ana thamani kuliko mnyamwezi mwenzako mweusi? Kwanza waarabu walishasema 'Ni afadhali sheikh awe mwarabu alafu mlevi kuliko sheikh awe mweusi'Oman ni ndugu zetu, wakirudi tutawakaribisha. Huyo Okello ni chogo mwenzako, siyo Mzanzibari. Alifanya vamizi huku Zanzibar na kumwaga damu za wasio na hatia.
Mwarabu anakwambia 'Ni afadhali sheikh awe mwarabu alaf mlevi kuliko sheikh awe Mweusi'Acha roho mbaya babaa. Watu wa sampuli kama yako ni ngumu kutoka/kuendelea.
Kwanza nitakuwa mpumbavu mwarabu asemwe na mtu kama wewe and then nikusapoti au nikukalie kimya. Mwarabu ni ndugu yangu katika imani kuliko hata wewe usie muislamu. المسلم أخو المسلم