Kihistoria Zanzibar ni kitongoji cha Oman. Ngorongoro kama inauzwa ilishauzwa kitambo maana hao Waarabu wanawinda ngorongoro muda mrefu sana.
Serikali yetu iwe na uangalifu sana wanaposhirikiana na Oman. Kumbukeni Sultan Jamshid aliyepinduliwa na wakina John Okello mwaka 1964 na kukimbilia UINGEREZA yuko hai na sasa amerudi yuko anaishi Oman toka mwaka jana!! Msifikirie kua wamesahau himaya yao hivi sasa wanajaribu kuwatega na kupata mbinu ya kuweza kurudisha Utawala wao kama vile PUTIN anavyowafanya huko UKRAINE!! Siku moja mtaamka mtakuta manowali zimejipanga hapo visiwani mkaanza kung'aa macho; dunia ya leo waarabu wana nguvu sana ya fedha hivyo tuwe macho!!!