Rais Samia kumbe anajua kuongea Kiarabu Vizuri. Nimemsikia alipokuwa Ikulu ya Tunguu Zanzibar

Rais Samia kumbe anajua kuongea Kiarabu Vizuri. Nimemsikia alipokuwa Ikulu ya Tunguu Zanzibar

Wewe chogo umeshaishi Oman? Au unarudia tu

Kwa hiyo unaamini kabisa Mwarabu anakuona wewe ni ndugu yake ? Waulize Wasomali hata wao huwa wanajiona Waarabu mpaka pale watakapokutana na Mwarabu mwenyewe na kukataliwa ndio wanaurudia Uafrika, ije kuwa wewe Mwarabu wa kuapia? Haki ya Mungu na mtume tena mimi Mwarabu, kama wewe ni Mwarabu kwa nini unahitaji kuapia ?
 
Salaam Wakuu

Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili).

Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea Lugha zaidii ya Nne kwa ufasaha.

Rais Samia hapendi kujitapa kwqmba anajua Lugha. Ila leo alipokuwa anazungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Badr Hamad Hamood Al Busaidi ndo nimegundua. Ila kucheka anacheka kiswahili.

Huo Ujumbe ulifika leo Ikulu ya Tunguu Zanzibar.

Freeman Mbowe leo wakati anahutubia baraza la Wanawake la CHADEMA(BAWACHA), kasema Rais Samia ni Mtu Poa, akamaliza kwa kusema Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni.

Msihusishe hii taarifa na Ngorongoro.
View attachment 2143587
video
 
..kwa hilo nampongeza.

..tujitahidi wahitimu wetu wawe wanazungumza lugha zaidi ya moja ya kimataifa.

..itasaidia ktk kukusanya ujuzi, maarifa, na utaalamu, toka sehemu mbalimbali na kuuleta Tanzania.
Watz unawajua ama unawasikia hawana interest zakujifunza vitu vipya,wanawaza kubet na kula makange
 
Oman wewe mtu mweusi wanakuita abdi, maana yake mtumwa, ila wewe nigga unamuita Mwarabu ndugu yako ?
Hiyo ni unrequited love!
Neno abdi ,sio mtumwa,maana ni mja,wapo waarabu wanaitwa Abdi,wapo Abdallah,Abuod,Abeid,Abdul,Abdilah,yote ina maana ya mja(mtu).Acha kupotosha.Halafu katika muundo wa lugha ya kiarabu,majina hayatafisriwi.Hata mtume Muhammad,ambaye ni Muarabu,baba ake akiitwa Abdillah na babu Abdulmutwalib.
Usiwe unadanganywa ,kwenye vijiwe vya Pombe,ukadanganyika.
 
Wazanzibari asili huwezi kuwaita wamanga. Machogo mna ubaguzi sana

Mmeishaanza chokochoko za babu zenu kuwa nyie wamanga ndio wazanzibari asili!! Mkifanya mchezo kibano mtakachopata sasa mtatokomea kabisa!!!
 
Mbona alivyoenda Egypt alikua na mkalimani,au Egypt hawaongei kiarabu?
 
Bila ya video kussuport ulichoandika inabaki kuwa porojo tu.
Kumbuka hata dua za kiislamu zipo katika kiarabu. Si kila msoma dua/Quran anaongea kiarabu.
Kiswahili unachoongea asilimiakubwa sana kinatokana na Kiarabu, usishangae hata wewe ukikutana na Waarabu wasiojua Kiswahili mkaongea na mkaelewana sana, tofauti ukikutana Wanaaongea lugha za Ulaya ambazo huzijui.
 
Mbona alivyoenda Egypt alikua na mkalimani,au Egypt hawaongei kiarabu?
Kuwa na Mkalimani hakumaanishi lugha hiyo huijui. Kuna kitu kinaitwa "lexicons" kwenye lugha. Hata Tanzania na Kiswahili chetu, ukizowea Kiswahili cha Bara ukifika na wanaoongea Kiswahili cha Pwani itabidi utafsiriwe mpaka ukizowee.
 
Kwa hiyo unataka kuniambia kiarabu cha Omani,Egypt na Iraq ni tofauti?
 
Serikali yetu iwe na uangalifu sana wanaposhirikiana na Oman. Kumbukeni Sultan Jamshid aliyepinduliwa na wakina John Okello mwaka 1964 na kukimbilia UINGEREZA yuko hai na sasa amerudi yuko anaishi Oman toka mwaka jana!! Msifikirie kua wamesahau himaya yao hivi sasa wanajaribu kuwatega na kupata mbinu ya kuweza kurudisha Utawala wao kama vile PUTIN anavyowafanya huko UKRAINE!! Siku moja mtaamka mtakuta manowali zimejipanga hapo visiwani mkaanza kung'aa macho; dunia ya leo waarabu wana nguvu sana ya fedha hivyo tuwe macho!!!
...Teh teh teh 😂😂😂...umenivunja mbavu aisee...huyu Jamshid kwa sasa ana miaka zaidi ya 90, unaamini bado anautamani Usultani na uzee wote huo ?
 
Historia inaonyesha Oman ilikuwa kitongoji cha Zanzibar. Na waarabu hawajawahi kuwinda Ngorongoro mpaka hivi karibuni.

Amandla...
Bro kasome historia vizuri inawezekana umeelewa lakini ninavyojua ni kuwa Makao makuu ya Sulutani wa homani yaliamishiwa nchini Zanzibar sasa inakuwaje useme Dodoma ni kitongoji cha Tanzania,wengi wa sisi waTanzania bado atujaondoka katika kundi la upotosha si viongozi si wananchi tunashindana kupotosha.
 
Serikali yetu iwe na uangalifu sana wanaposhirikiana na Oman. Kumbukeni Sultan Jamshid aliyepinduliwa na wakina John Okello mwaka 1964 na kukimbilia UINGEREZA yuko hai na sasa amerudi yuko anaishi Oman toka mwaka jana!! Msifikirie kua wamesahau himaya yao hivi sasa wanajaribu kuwatega na kupata mbinu ya kuweza kurudisha Utawala wao kama vile PUTIN anavyowafanya huko UKRAINE!! Siku moja mtaamka mtakuta manowali zimejipanga hapo visiwani mkaanza kung'aa macho; dunia ya leo waarabu wana nguvu sana ya fedha hivyo tuwe macho!!!
Sasa wewe kwa akili yako Tanganyika kuungana na Sudan ya Kusini na kuungana na Uingerza utakubali yupi?
 
Salaam Wakuu

Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili).

Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea Lugha zaidii ya Nne kwa ufasaha.

Rais Samia hapendi kujitapa kwqmba anajua Lugha. Ila leo alipokuwa anazungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Badr Hamad Hamood Al Busaidi ndo nimegundua. Ila kucheka anacheka kiswahili.

Huo Ujumbe ulifika leo Ikulu ya Tunguu Zanzibar.

Freeman Mbowe leo wakati anahutubia baraza la Wanawake la CHADEMA(BAWACHA), kasema Rais Samia ni Mtu Poa, akamaliza kwa kusema Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni.

Msihusishe hii taarifa na Ngorongoro.
View attachment 2143587

Ikowapi video akiongea? Hao kuna uwezekano mkubwa wanaongea kiswahili wala si ajabu!
 
Back
Top Bottom