Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Waarabu co kama wazungu, wahindi au mayahudi. Waarabu wana imani, roho nzuri na wakarimu, na dini ndio imewapelekea wawe hivyo japo kuna baadhi wanakosea kama binadamu wengine.
Mwarabu hawezi kukuita nyani
Mwarabu hawezi kukutupia maganda ya ndizi
Mwarabu hawezi kuzikashifu nchi za afrika kama ambavyo trump alivyotoa maneno mabaya japo kuna ukweli ndani yake(SHIT OLE)
Nasema hivi, mwarabu anaongoza duniani kwa imani na ukarimu, huo ndio ukweli babaa. Alafu nikushauri kitu! Tembea nchi za waarabu upate ujionee na upate kujifunza mengi, acha kukakaa tandale cjui same huko.
Hayo mambo ya kuitwa Nyani waambie wanashobokea Wazungu watakujibu labda isitoshe kama ni kweli usemavyo kwa nini Samia anafunga safari kwa karibia wiki 2 kwenda kuomba hela za misaada Ufaransa ? Kwa nini hakwenda kuomba Saudia? Kwa nini Watalii wanaokuja Zanzibar > 80% wanatoka Ulaya au Japan na siyo Waarabu ? Kwa nini Zanzibar inapewa misaada na Ulaya au Japan na siyo Saudia ?
Acha kujidanganya, hakuna watu wana classes kama Waarabu, na ndio maana Muslims wengi wanakwenda kuishi non Arab countries hata Samia mwenyewe kila siku mguu na njia non Arab countries, au ni lini ulisikia Samia akikaribishwa Saudia ?