benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert Kaji, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Kupambana na Dawa za Kulevya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini
-Uteuzi wa James Kaji kama Kamishna Jenerali wa Kupambana na Dawa za Kulevya ulitenguliwa Aprili 5, 2021
Kufuatia Rais Samia kumrudisha tena Serikalini safari hii kama Mkuu wa Wilaya ya Tanga wengi wanahoji je kuna kazi maalum ya kufanya Wilayani Tanga ambapo kuna moja kati ya Bandari zinazoongoza kwa kuingiza magendo nchini:
Yapi Maoni yako Mwanajamvi