Rais Samia Kumteua Mkuu wa Zamani wa Kudhibiti Dawa za Kulevya, Kuwa DC Tanga, Kunatoa Taswira Gani

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert Kaji, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Kupambana na Dawa za Kulevya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini

-Uteuzi wa James Kaji kama Kamishna Jenerali wa Kupambana na Dawa za Kulevya ulitenguliwa Aprili 5, 2021

Kufuatia Rais Samia kumrudisha tena Serikalini safari hii kama Mkuu wa Wilaya ya Tanga wengi wanahoji je kuna kazi maalum ya kufanya Wilayani Tanga ambapo kuna moja kati ya Bandari zinazoongoza kwa kuingiza magendo nchini:

Yapi Maoni yako Mwanajamvi
 
Pia hii imempita Pascal Mayalla? Haiwezekani asee tuandamaneni.
 
Kufuatia Rais Samia kumrudisha tena Serikalini safari hii kama Mkuu wa Wilaya ya Tanga kuna kazi maalum ya kufanya Wilayani Tanga ambapo kuna moja kati ya Bandari zinazoongoza kwa kuingiza magendo nchini:

Nawaza hivyo[emoji848]

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert Kaji, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Kupambana na Dawa za Kulevya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini

-Uteuzi wa James Kaji kama Kamishna Jenerali wa Kupambana na Dawa za Kulevya ulitenguliwa Aprili 5, 2021

Kufuatia Rais Samia kumrudisha tena Serikalini safari hii kama Mkuu wa Wilaya ya Tanga wengi wanahoji je kuna kazi maalum ya kufanya Wilayani Tanga ambapo kuna moja kati ya Bandari zinazoongoza kwa kuingiza magendo nchini:

Yapi Maoni yako Mwanajamvi
Huyo yupo kazini,kuna dili la unga katumwa kulifuatilia hapo,liko njiani linakuja na majahazi
 
Ukiacha huyo hata huyu Professa Sodeyeka nae uhamisho wake unashangaza,kutoka Principle sijui VC Chuo cha Uhasibu Arusha,kwenda kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,baadae Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili kabla ya kurudishwa tena kuongoza Chuo cha Uhasibu Arusha..

Yaani kwa maana nyingine now anaripoti kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha,mtu ambaye walishawahi kuwa kwenye rank moja na walikuwa wakikutana kwenye vikao vya Makatibu Wakuu wa Wizara Zote chini ya Katibu Mkuu Kiongozi..hili kidogo lina UKAKASI
 
Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert Kaji, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Kupambana na Dawa za Kulevya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini

-Uteuzi wa James Kaji kama Kamishna Jenerali wa Kupambana na Dawa za Kulevya ulitenguliwa Aprili 5, 2021

Kufuatia Rais Samia kumrudisha tena Serikalini safari hii kama Mkuu wa Wilaya ya Tanga wengi wanahoji je kuna kazi maalum ya kufanya Wilayani Tanga ambapo kuna moja kati ya Bandari zinazoongoza kwa kuingiza magendo nchini:

Yapi Maoni yako Mwanajamvi
Hii ni humiliation kwa cheo alichokuwa amefika halafu kupewa U-DC ni udhalilishaji
 
Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert Kaji, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Kupambana na Dawa za Kulevya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini

-Uteuzi wa James Kaji kama Kamishna Jenerali wa Kupambana na Dawa za Kulevya ulitenguliwa Aprili 5, 2021

Kufuatia Rais Samia kumrudisha tena Serikalini safari hii kama Mkuu wa Wilaya ya Tanga wengi wanahoji je kuna kazi maalum ya kufanya Wilayani Tanga ambapo kuna moja kati ya Bandari zinazoongoza kwa kuingiza magendo nchini:

Yapi Maoni yako Mwanajamvi
maana yake mkuu wa mkoa ajipange
 
Back
Top Bottom