Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa Umma, leo 30 Machi, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
Rais Samia ameielekeza Wizara ya Mawasiliano Teknolojia na habari kwa kushirikiana na wizara ya fedha na Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma kuendelea kusimamia ipasavyo zoezi la kuunganisha mifumo hiyo na hatimaye kuimarisha uwajibikaji na kupunguza mianya ya ubadhirifu wa fedha za serikali