pulex
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 536
- 2,213
š¤£Bibi wa Elimu Mbalimbali; miaka yote amekariri kuongelea mifumo kutosomana lakini nina hakikika wala haelewi anachokiongelea. Zuzuš®š®
š¤£Bibi wa Elimu Mbalimbali; miaka yote amekariri kuongelea mifumo kutosomana lakini nina hakikika wala haelewi anachokiongelea. Zuzuš®š®
huyu bibi anatupigia makelele tu. tena baada ya kuwauwa ndugu, jamaa na marafiki zetu hapo october 29Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa Umma, leo 30 Machi, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
Rais Samia ameielekeza Wizara ya Mawasiliano Teknolojia na habari kwa kushirikiana na wizara ya fedha na Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma kuendelea kusimamia ipasavyo zoezi la kuunganisha mifumo hiyo na hatimaye kuimarisha uwajibikaji na kupunguza mianya ya ubadhirifu wa fedha za serikali
Amechaguliwa na nani ndo maana wanamdharauNashangaa! Rais anasema hilo hilo akipokea ripoti hiyo mara ya 3 miaka 3 mfululuzo na hakuna anayetekeleza! Tatizo ni nani hapo sasa!
Unafahamu kwanini ilikuwa vile? Maana yake wao wooote wapo chini ya Kingdom Ile, hizo bendera za Kisiasa ni za huko huko kwao wakija kwenye Dola ya mfalme Ukifanya hivyo unapunguza heshima ya ule ufalmeIkulu ni secure place, hawa watu nyuma ya rais na pembeni yake, wanafanya kazi gani wakati rais anapohutubia akiwa in a secure area kama Ikulu?!.
Vitu vingine ni tujifunze kwa wenzetu!, tusifanye mambo kwa mazoea!. Rais anapohutubia akiwa in a secured place, there is no need wawepo!, nilipenda sana the way marais wa Africa walivyokuwa treated kwenye msiba wa Queen Elizabeth, hakuna cha walinzi, bodyguard wala ADC, ni rais yeye tuu kama rais peke yake!.
P
Takataka!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa Umma, leo 30 Machi, 2026, Ikulu Dar es Salaam.