Ni yeye tu.Nashangaa! Raisi anasema hilo hilo akipokea ripoti hiyo mara ya 3 miaka 3 mfululuzo na hakuna anayetekeleza! Tatizo ni nani hapo sasa!
Kuua watanganyika ni rahisi kuliko kudeal na wezi actually wezi ndio hao hao wauaji.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa Umma, leo 30 Machi, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
Rais Samia ameielekeza Wizara ya Mawasiliano Teknolojia na habari kwa kushirikiana na wizara ya fedha na Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma kuendelea kusimamia ipasavyo zoezi la kuunganisha mifumo hiyo na hatimaye kuimarisha uwajibikaji na kupunguza mianya ya ubadhirifu wa fedha za serikali
Mifumo kusomana itasidia usalama wa Nchi na uhakika wa ukusanyaji mapato, faida ni nyingi sana. Ni swala endelevu.
Pia inatakiwa iwe secured, reliable cost effectively Yan serikali iweze kumudu kuendesha pasipo kumtegema mjomba Fulani ivi. Kwa hali ya kawaida au majanga, mifumo inatakiwa iwe secured na reliable muda wote.na wa TZ waniweza kwa 100%.
Tatizo ni raisi mwenyewe it seems Hana dead line kwenye utendaji wake. Hopeless kabisa huyu muajiNashangaa! Rais anasema hilo hilo akipokea ripoti hiyo mara ya 3 miaka 3 mfululuzo na hakuna anayetekeleza! Tatizo ni nani hapo sasa!
Mkuu, ofisi ya CAG wajibu wao ni kukusanya Taarifa na kutoa Ushauri TU. Na sio kutoa hukumu.Kila siku somo la mifumo kusomana linarudiwa, have you learned nothing?, act like a real prezdaa, sasa watu wapo kazini kwaajili gani?, Sisi tunalipa Kodi kumbe zinapigwa Tu kilaini, halafu najiuliza hii ofisi ya CAG inafanya hata kazi wanayoifanya ionekane ni kazi bure, hawa Nadhani wapo kila mkoa wanakula Kodi zetu bure maana sijui kama pia Wana Meno yoyote zaidi ya kuandaa ripoti Tu then tutawalaumu Tu maana huko juu kumeoza.
Hawa Jamaa Kwa watu wasiojua nao wataonekana ndo wale wale, mtu maskini akisikia mihela inayotajwa mhhh.Mkuu, ofisi ya CAG wajibu wao ni kukusanya Taarifa na kutoa Ushauri TU. Na sio kutoa hukumu.
Huo ndiyo wimbo wake ambao huuimba kila mwaka 'kutosomana'.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa Umma, leo 30 Machi, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
Rais Samia ameielekeza Wizara ya Mawasiliano Teknolojia na habari kwa kushirikiana na wizara ya fedha na Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma kuendelea kusimamia ipasavyo zoezi la kuunganisha mifumo hiyo na hatimaye kuimarisha uwajibikaji na kupunguza mianya ya ubadhirifu wa fedha za serikali
Ikulu ni secure place, hawa watu nyuma ya rais na pembeni yake, wanafanya kazi gani wakati rais anapohutubia akiwa in a secure area kama Ikulu?!.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa Umma, leo 30 Machi, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
Rais Samia ameielekeza Wizara ya Mawasiliano Teknolojia na habari kwa kushirikiana na wizara ya fedha na Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma kuendelea kusimamia ipasavyo zoezi la kuunganisha mifumo hiyo na hatimaye kuimarisha uwajibikaji na kupunguza mianya ya ubadhirifu wa fedha za serikali
Hivi Ile fuel meter pale Bandarini ifungwa mpya au bado wanakadiria ushushwaji mafuta🤣Nashangaa! Rais anasema hilo hilo akipokea ripoti hiyo mara ya 3 miaka 3 mfululuzo na hakuna anayetekeleza! Tatizo ni nani hapo sasa!
Bibi wa Elimu Mbalimbali; miaka yote amekariri kuongelea mifumo kutosomana lakini nina hakikika wala haelewi anachokiongelea. Zuzu🚮🚮Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa Umma, leo 30 Machi, 2026, Ikulu Dar es Salaam.