Rais Samia: Kuna changamoto mifumo ya Serikali kutosomana kikamilifu

huyu bibi anatupigia makelele tu. tena baada ya kuwauwa ndugu, jamaa na marafiki zetu hapo october 29
hivi inahitaji trilioni ngapi ili hiyo mifumo isomane?
kila mwaka mifumo haisomani sijui ujinga gani?
mbona usiache kununua magari ya kifahari ili hiyo mifumo isomane?
una IGP anayeweza kukamata WASANII NA KUWABAMBIKIZA KESI ZA UHAINI? lakini hana uwezo wa kubaini majizi yaliyopo serikalini ambayo hapo ulipo yamekuzunguka
ivi kumkamata yule nywinywi na DED mmoja hapo kibaha kipi kigumu na chenye faida kwa nchi?
hovo kabisa
 
Nashangaa! Rais anasema hilo hilo akipokea ripoti hiyo mara ya 3 miaka 3 mfululuzo na hakuna anayetekeleza! Tatizo ni nani hapo sasa!
Amechaguliwa na nani ndo maana wanamdharau
 
Unafahamu kwanini ilikuwa vile? Maana yake wao wooote wapo chini ya Kingdom Ile, hizo bendera za Kisiasa ni za huko huko kwao wakija kwenye Dola ya mfalme Ukifanya hivyo unapunguza heshima ya ule ufalme
 
Takataka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…