Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sidhani kama yupo sahihi.Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki.
Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na wananchi.
Hivyo amesema uandishi wa aina hiyo unaharibu nchi sio kumuharibia Samia
kwahiyo hamtaki...?Nchi inajiendesha hii.
Kama yule jamaa wa Simiyu, katindua mwanafunzi.Mama yuko Sahihi, hawezi kufanya vitu vyote peke yake, wasaidizi wake wanakosea ndiyo maana anawawajibisha, mwacheni mama apumzike
Exactly, kuna mambo mengi hajawatumaKama yule jamaa wa Simiyu, katindua mwanafunzi.
Kwani kuna taasisi ya serikali inayojiendesha bila watu?Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki.
Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na wananchi.
Hivyo amesema uandishi wa aina hiyo unaharibu nchi sio kumuharibia Samia
Hata kama hajawatuma, kashindwa kuchuja watu sahihi kuchukua nafasi za uongozi, haoni hilo kama muhimu.Exactly, kuna mambo mengi hajawatuma
Ukiwa raisi unapokea vyote. Huwezi kujitoa kwa namna yoyote kwenye lawama zozoteRais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki.
Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na wananchi.
Hivyo amesema uandishi wa aina hiyo unaharibu nchi sio kumuharibia Samia
Kuna ka-ukweli fulani hivi mkuu, ila tabia za watu ni dynamic, mtu mwenye tabia njema leo anaweza aka pick tabia mbaya kesho, honest person today can be a thief and hooligan tomorrow. So lets give mama yetu wa taifa a breakHata kama hajawatuma, kashindwa kuchuja watu sahihi kuchujua naafasi za uongozi, haoni hilo kama muhimu.
We mtu anamrudisha Makonda katika uongozi, mtu mwenye tuhuma nyingi sana chafu, unafikiri anajaki habari za kuchuja wateule wake?
Sawa, sikatai hilo.Kuna ka-ukweli fulani hivi mkuu, ila tabia za watu ni dynamic, mtu mwenye tabia njema leo anaweza aka pick tabia mbaya kesho, honest person today can be a thief and hooligan tomorrow. So lets give mama yetu wa taifa a break
Alimwajibisha nani??Mama yuko Sahihi, hawezi kufanya vitu vyote peke yake, wasaidizi wake wanakosea ndiyo maana anawawajibisha, mwacheni mama apumzike
Nchi nyingi za ki-Africa haziko serious kwenye uongozi, hilo sipingi, ila huyu mama anajitahidi. Kuna kitu watanzania wanapaswa kufanya 2025Sawa, sikatai hilo.
Lakini kuna tofauti kati ya madudu yanayotokea kwa sababu watu wamechujwa vizuri lakini wamebadili tabia, na madudu yanayotokana na mfumo ambao haujali kuchuja viongozi.
Kwetu mfumo haujali kuchuja viongozi.
Ndiyo maana watu wanapata teuzi wanazisikia rediani, hata hawaulizwi kama wanataka hizo kazi.
Ndiyo maana mpaka marehemu anatangazwa uteuzi.