Rais Samia: Kuna mambo Samia hahusiki

Rais Samia: Kuna mambo Samia hahusiki

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki.

Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na wananchi.

Hivyo amesema uandishi wa aina hiyo unaharibu nchi sio kumuharibia Samia

====

Pia soma:

- Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Juni 18, 2024
 
Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki.

Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na wananchi.

Hivyo amesema uandishi wa aina hiyo unaharibu nchi sio kumuharibia Samia
Sidhani kama yupo sahihi.

Akumbuke kwamba Viongozi wote kabisa wa Serikali hii ya Tanzania amewateua yeye kwa mkono wake, kwa hiyo hawezi kukwepa kuwajibika na yale mambo yafanywayo na hao Wateule wake.

Kushindwa kwa hao watu ambao yeye mwenyewe amewateua ndio kushindwa kwake yeye Rais (Mteuaji), vice versa is also true.

Akumbuke msingi Mkuu katika utendaji kazi uitwao 'Agent-Principal Relationship.'
 
Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki.

Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na wananchi.

Hivyo amesema uandishi wa aina hiyo unaharibu nchi sio kumuharibia Samia
Kwani kuna taasisi ya serikali inayojiendesha bila watu?
 
Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki.

Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na wananchi.

Hivyo amesema uandishi wa aina hiyo unaharibu nchi sio kumuharibia Samia
Ukiwa raisi unapokea vyote. Huwezi kujitoa kwa namna yoyote kwenye lawama zozote
 
Hata kama hajawatuma, kashindwa kuchuja watu sahihi kuchujua naafasi za uongozi, haoni hilo kama muhimu.

We mtu anamrudisha Makonda katika uongozi, mtu mwenye tuhuma nyingi sana chafu, unafikiri anajaki habari za kuchuja wateule wake?
Kuna ka-ukweli fulani hivi mkuu, ila tabia za watu ni dynamic, mtu mwenye tabia njema leo anaweza aka pick tabia mbaya kesho, honest person today can be a thief and hooligan tomorrow. So lets give mama yetu wa taifa a break
 
Sawa, sikatai hilo.

Lakini kuna tofauti kati ya madudu yanayotokea kwa sababu watu wamechujwa vizuri lakini wamebadili tabia, na madudu yanayotokana na mfumo ambao haujali kuchuja viongozi.

Kwetu mfumo haujali kuchuja viongozi.

Ndiyo maana watu wanapata teuzi wanazisikia rediani, hata hawaulizwi kama wanataka hizo kazi.

Ndiyo maana mpaka marehemu anatangazwa uteuzi.
 
Nchi nyingi za ki-Africa haziko serious kwenye uongozi, hilo sipingi, ila huyu mama anajitahidi. Kuna kitu watanzania wanapaswa kufanya 2025
 
Back
Top Bottom