Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Your browser is not able to display this video.
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.

katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.
 
Ngoma iklilia sana karibia inapasuka, kibri hii tutaipeleka kwa Mola atoe mwenyewe hukumu.
 
Eti maendeleo yetu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† amehamia kwenye taarabu sasa yawezekana siku sio nyingi akatoa mipasho na mzee yusufu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…