Pre GE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.

katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.
 
Mama wa 4R yamemfika shingoni
 
Leo kageuka mbwa🤣🤣🤣🤣 JPM Baba pumzika kwa amani, tushuhudie sinema la waliorudi nchini kwa mbwembwe na mipasho kwa hayati
GVeaeNpWwAAMJtq.jpg
 
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.

katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.
Taarabu
 
Back
Top Bottom