Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi"

"Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia mdogo na mdogo humwambia mkubwa sasa mimi mdogo naomba niwaambie ndugu zangu Maimamu amani na imani za mioyo yetu kwanza ndiyo mambo yetu yatakuwa vizuri sana kule msikitini”-Rais Samia Suluhu

#NipasheMwangaWaJamii
#miaka30yakupashahabari
#nipashedigital
Ubwabwaaaaaaaaaaaaaa
 
Ndo wakujifanya mnangaji wa pande zote, kachelewa

Kilichobaki kwake ni kubusu Pete ya papa kitu ambacho hakiwezi

Wamwambie abaki alipo dunia awache kwa walimwengu, asisikilize mutu
 
Ndo wakujifanya mnangaji wa pande zote, kachelewa

Kilichobaki kwake ni kubusu Pete ya papa kitu ambacho hakiwezi

Wamwambie abaki alipo dunia awache kwa walimwengu, asisikilize mutu
Pete ya papa , mbona matusi
 
Back
Top Bottom