Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi"

"Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia mdogo na mdogo humwambia mkubwa sasa mimi mdogo naomba niwaambie ndugu zangu Maimamu amani na imani za mioyo yetu kwanza ndiyo mambo yetu yatakuwa vizuri sana kule msikitini”-Rais Samia Suluhu

Masikini ukimpa nyama agawe itamuozea mikononi, ndicho kilitokea Morogoro.
 
“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi"

"Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia mdogo na mdogo humwambia mkubwa sasa mimi mdogo naomba niwaambie ndugu zangu Maimamu amani na imani za mioyo yetu kwanza ndiyo mambo yetu yatakuwa vizuri sana kule msikitini”-Rais Samia Suluhu

Tunajuwa DINI NI BIASHARA ILA LAZIMA ZIZINGATIE SHERIA ZA NCHI...(J.M. KIKWETE)
 
Mvua inanyesha yy anazungumzia ubakaji. Mafuliko aah.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom