SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Samia ameamua kuwabagaza Maimamu wetu hii ni dharau kubwa sana
Wameomba tena na chuo wakati kile walichopewa na Mkapa zaidi ya miaka 20 sasa kimewashinda.“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi"
"Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia mdogo na mdogo humwambia mkubwa sasa mimi mdogo naomba niwaambie ndugu zangu Maimamu amani na imani za mioyo yetu kwanza ndiyo mambo yetu yatakuwa vizuri sana kule msikitini”-Rais Samia Suluhu
#NipasheMwangaWaJamii
#miaka30yakupashahabari
#nipashedigital
Kumbuka tu huyo ni Rais wa watu wote ana haki ya kushauri kila taasisi pole sanaSasa sisi hayo mambo ya msktin yanatuhusu nin?!?? Kwani yeye ndo kiongozi wa waislam nchi nzima?!
Amesema maimamu sio mashekheMashehe wanauaibisha Ummah wa kiislamu kwa kugombania vijinyama na tuvifurushi. Ni aibu Sana kwakweli.
Mashehe wanauaibisha Ummah wa kiislamu kwa kugombania vijinyama na tuvifurushi. Ni aibu Sana kwakweli.
Muislamu mwenzao Samia ndiye kawabagaza kusema wanagombea vijinyama toka Arabunimko hapa kuwakejeli waislamu lkn hamjui kinachoendelea, wenzenu wako vitani tangia uhuru against unaoitwa "mfumo Kristo" na wamekaribia ushindi, hivi sasa labda msilolijia ni kwamba idadi ya Christians tanzagiza imepungua/imepunguzwa kwa zaidi ya 10% i.e ktk >65% mpaka 57% ina maana wameondoa 10% ya Christians kwenye sensa ya mwaka 2022 mpaka kufikia 2030 idadi ya Christians na Muslims tanzagiza itakuwa sawa on paper atleast, endeleeni kuwacheka na mkifikiri ni wajinga, mtakuja pigwa ambush when its too late.
war on Christianity is real ...
Hii ni clip ikimuonyesha mzee mmoja wa kiislamu kutoka Zanzibar akithibitisha namna gani waislamu wanaenda kuimeza Tanzania bara kwa uongozi wao wa kigaidi.
Wakristo wamekua tishio kwa waislamu na ndio maana hata haya mapambano ya kuondoa uongozi wa Rais Samia yanaongozwa na wakristo tu, hutakuta muislamu ananyanyua kinywa kupiga kelele kuhusu hii mifumo kandamizi.
View attachment 3452254
Na watu hawajiulizi kwanini wanaopiga kelele wote ni wakristo tu? Gwajima Mkristo, Polepole mkristo, Lissu Mkristo, John Heche mkristo? Nchi inaenda kugeuzwa hivihivi
Sasa hivi Rais Samia muislamu, waziri mkuu Majaliwa muislamu, waziri wa mambo ya ndani muislamu, waziri wa ulinzi muislamu, waziri wa viwanda na biashara Jafo muislamu, waziri wa kilimo na mifugo Innocent Bashe muislamu na viongozi wengine unaowajua wewe.
Mkuu wa jeshi la majini (Navy) anaitwa Amori ni muislamu, alafu wakristo wamelala tu, hata hawastuki nchi inaenda kugeuzwa hivihivi tunaona.
Sasahivi udini unaenda kuigawa Tanzania taratibu, tusipostuka utakuja kukuta wakristo wataishia kupata ajira tu na sio nafasi za kisiasa.
Wazee wa kugombea vibudu hadi wanatoana ngeu.
Muislamu mwenzao Samia ndiye kawabagaza kusema wanagombea vijinyama toka Arabuni
CrazyHii ni clip ikimuonyesha mzee mmoja wa kiislamu kutoka Zanzibar akithibitisha namna gani waislamu wanaenda kuimeza Tanzania bara kwa uongozi wao wa kigaidi.
Wakristo wamekua tishio kwa waislamu na ndio maana hata haya mapambano ya kuondoa uongozi wa Rais Samia yanaongozwa na wakristo tu, hutakuta muislamu ananyanyua kinywa kupiga kelele kuhusu hii mifumo kandamizi.
View attachment 3452254
Na watu hawajiulizi kwanini wanaopiga kelele wote ni wakristo tu? Gwajima Mkristo, Polepole mkristo, Lissu Mkristo, John Heche mkristo? Nchi inaenda kugeuzwa hivihivi
Sasa hivi Rais Samia muislamu, waziri mkuu Majaliwa muislamu, waziri wa mambo ya ndani muislamu, waziri wa ulinzi muislamu, waziri wa viwanda na biashara Jafo muislamu, waziri wa kilimo na mifugo Innocent Bashe muislamu na viongozi wengine unaowajua wewe.
Mkuu wa jeshi la majini (Navy) anaitwa Amori ni muislamu, alafu wakristo wamelala tu, hata hawastuki nchi inaenda kugeuzwa hivihivi tunaona.
Sasahivi udini unaenda kuigawa Tanzania taratibu, tusipostuka utakuja kukuta wakristo wataishia kupata ajira tu na sio nafasi za kisiasa.
Watapata tuzo gani wakishinda?look at the bigger picture man, wako vitani wanakaribia ushindi ...
Watapata tuzo gani wakishinda?
Itawasaidia nini kuua Wakristo?oh nigeria wastani 30 Christians are being killed kila siku ...