Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

Hiyo ni dhana tu, watu wanahangaikia maisha binafsi zaidi ya kufikiria dini.

ofcourse wanaohangika ni masikini wa chini wanao plan ni elites, au unafikiri kwa nini uchumi karibia wote wanamiliki/milikishwa wao muslim elite akina rostam, dewji & co. ? end game ni caliphate ...
 
Sasa sisi hayo mambo ya msktin yanatuhusu nin?!?? Kwani yeye ndo kiongozi wa waislam nchi nzima?!
Hulijui hilo au unfjifunzai siasa kwa kuhadithiwa kajifunze politics is a super structure of a country
 
“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi"

"Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia mdogo na mdogo humwambia mkubwa sasa mimi mdogo naomba niwaambie ndugu zangu Maimamu amani na imani za mioyo yetu kwanza ndiyo mambo yetu yatakuwa vizuri sana kule msikitini”-Rais Samia Suluhu

View: https://www.instagram.com/p/DNvM8WrWpao/

#NipasheMwangaWaJamii
#miaka30yakupashahabari
#nipashedigital

Mashehe wa Bakwata kazi yao kutoana ngeu tu kugombea mizoga toka Makkah, sikusema mimi amesema Samuya.
 
“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi"

"Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia mdogo na mdogo humwambia mkubwa sasa mimi mdogo naomba niwaambie ndugu zangu Maimamu amani na imani za mioyo yetu kwanza ndiyo mambo yetu yatakuwa vizuri sana kule msikitini”-Rais Samia Suluhu

View: https://www.instagram.com/p/DNvM8WrWpao/

#NipasheMwangaWaJamii
#miaka30yakupashahabari
#nipashedigital

Hapo kasema ukweli, masheikh ubwabwa wanatwangana kunyang'anyana nyama. Asante Samia kwa kuliona hilo.....Duuh mambo ya pilau hayo.
 
Masheikh ubwabwa, kila siku tunawaambia humu, hawana muda wa kutafakari haki, wao wakitupiwa vijinyama wanaanzia kuraruana🤣
 
“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi"

"Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia mdogo na mdogo humwambia mkubwa sasa mimi mdogo naomba niwaambie ndugu zangu Maimamu amani na imani za mioyo yetu kwanza ndiyo mambo yetu yatakuwa vizuri sana kule msikitini”-Rais Samia Suluhu

Huyu ni Rais wanchi
Hayo mambo yanayo tokea makanisani na misikitini ni mambo ya waumini.

Waumini watajadili wenyewe na kuchukuwa hatuwa.
Kwa upande wawaisilamu kidogo ningumu sababu ya tasisi ya serikali Bakwata.
Pia yupo waziri husika na sio Raisi.
 
Malaria 2 kampiga ustaadh mwenzake ngumi ya shingo kwa nyuma hadi amekata moto yote hii uchu wa vijinyama toka Makkah, aibu gani yarabi?
 
Attachments

  • downloadfile.mp4
    3.1 MB
mko hapa kuwakejeli waislamu lkn hamjui kinachoendelea, wenzenu wako vitani tangia uhuru against unaoitwa "mfumo Kristo" na wamekaribia ushindi, hivi sasa labda msilolijia ni kwamba idadi ya Christians tanzagiza imepungua/imepunguzwa kwa zaidi ya 10% i.e ktk >65% mpaka 57% ina maana wameondoa 10% ya Christians kwenye sensa ya mwaka 2022 mpaka kufikia 2030 idadi ya Christians na Muslims tanzagiza itakuwa sawa on paper atleast, endeleeni kuwacheka na mkifikiri ni wajinga, mtakuja pigwa ambush when its too late.

war on Christianity is real ...
Unawaza Ujinga TU
 
Unawaza Ujinga tu
 
Back
Top Bottom