uimamu sio KAZI.sadaks hizo hizo za zinawatosha.Ni vizuri waislam wawe wanawalipa ma imam mishahara na posho
Yeye amefahamu Leo? Waislam wengi ni maskini, mafukara, wakristo ndio wanaendesha uchumi wa nchi hii, ni swala la kihistoria,mikoa walipo maskini wengi, uislam ulitamaraki, badala, ya kujenga shule, vyuo, hospitari,Waka Jenga misikiti,! Wakristo ni ma shule, vyuo, hospitari,“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi"
"Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia mdogo na mdogo humwambia mkubwa sasa mimi mdogo naomba niwaambie ndugu zangu Maimamu amani na imani za mioyo yetu kwanza ndiyo mambo yetu yatakuwa vizuri sana kule msikitini”-Rais Samia Suluhu
#NipasheMwangaWaJamii
#miaka30yakupashahabari
#nipashedigital
Kwani hairuhusiwi?..una ushahidi wa kimaandiko?Naona Leo mwanamke amesimama mbele ya mashekhe na kuwafundisha😀. Mwiko umevunjwa ama ni Nini??.. wamealikana wenyewe kwa wenyewe na kuruhusu mwanamke kusimama mbele ya mibaba na kuwahutubia...😄😄😄. Taratibu tutafika kanaan!💪💪
Kawaida kabisa uoni Palestine wanavyokufa kwa njaa Yani ikitokea tumejigawa Waislam na wakristo hakika WAISLAM wangekufa kwa njaa Kwanza hawapendi kazi 2. Mbili hawapendi kufuga 3. Wanapoteza muda mwingi kwa mambo ya marudio ya HADITHI 4. Wanaoa sana na kusababisha omba omba mtaani 5. Hawapendi shule kabisa kuwakuta katika course za kiume hakuna“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi"
"Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia mdogo na mdogo humwambia mkubwa sasa mimi mdogo naomba niwaambie ndugu zangu Maimamu amani na imani za mioyo yetu kwanza ndiyo mambo yetu yatakuwa vizuri sana kule msikitini”-Rais Samia Suluhu
#NipasheMwangaWaJamii
#miaka30yakupashahabari
#nipashedigital
Akili za masheikh zinaishia kwenye kulakula tuKwa kweli ni aibu viongozi wa kidini kugombania vinyama ambavyo havina hata ladha.
Kiti moto...mashekh wanagombea hadi kitimoto ...kunayule shekh anavaaga vimiwani na kuvishusha kwa chini kama shoga ....ni hasara kwa taifaNyama ya ngamia au
ROSTAM AZIZI PROJECT HIYONa hawa wwliosoma ph d wanakanyagwa na elimu zao
Waulize wenyewe waje hapa😄Kwani hairuhusiwi?..una ushahidi wa kimaandiko?