Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

Tozo haziwezi kuendesha nchi ni kama ombaomba tu anaesubiri ijumaa au jumapili apate chochote

Inatakiwa tuzalishe sana na kuuza nje
Ngozi zimejaa wanaishia kutengeneza viatu vya jeshi tu badala ya kuuza nje
Tuna kila hali ya kujiita mazezeta
 
GHANA YAMEKWISHAWAPATA WANALIPA DENI KWA ASILIMIA 70 YA MAPATO YAO YA NDANI
 
Hivi unajua Budget ya mishahara ya serikal kwa mwezi ? Au Unasikia Radio mbao tu kuna Tajiri hapa Tz anauwezo kulipa mishahara ya serikali watanzania walio wengi ni wajinga hasa lugha rahisi ni jamii ya hovyo kabisa katika ukanda huu wa mashariki
Nisome vizuri mkuu acha kupaniki na kukurupuka. Hapo kabla ya JPM ulipaji wa mishahara ulikuwa decentralized. Watumishi wa halmashauri walikuwa wanalipwa na halmashauri na wa serikali kuu ndiyo walikuw wanalipwa na serikali kuu..

Sasa ndiyo nikasema kuna baadhi ya halmashauri zilikuwa zinakopa kwa matajiri. Umeelewa ewe ng'ombe?
 
Tozo haziwezi kuendesha nchi ni kama ombaomba tu anaesubiri ijumaa au jumapili apate chochote

Inatakiwa tuzalishe sana na kuuza nje
Ngozi zimejaa wanaishia kutengeneza viatu vya jeshi tu badala ya kuuza nje
Tuna kila hali ya kujiita mazezeta
Pesa za tozo nimezitumia kama mfano, kuonesha vile pesa zinavyopotea hovyo serikalini bila usimamizi madhubuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…