Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Hawa wezi wa serikali ya CCM wavuvi na wafuga samaki hatuna hamu nao, wameiba na kugawana pesa za mikopo ya IFAD na KUTELEKEZA mradi mchana kweupe.
Awamu ya kwanza ya utekelezaji wa mradi inamalizika MWEZI JUNI 2023, na Hakuna hata shilingi moja ambayo imelipwa hadi sasa
Huyu Mama na magenge yake miaka hii mitano tu inawatosha, wakiendelea nchi itafilisika na kukorogeka kabisa