Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

Kila siku tunaongelea mikopo mikopo tu.. tunakoelekea lipo kubwa litatokea.

Uzuri wake Watanzania wengi ni makondoo bado CCM itaketa sarakasi zakurubuni na itakuja kutetewa hapa.
 
mzee wangu tusipangiane basi. hakuna sababu za kufuatiliana. Unahisi ni kero kusoma comment yangu ipo button ya ku ignore.
Ombi langu ni uache unafiki,kujifanya kumponda huyo maza kumuona sijui hajielewi halafu mada zinazomhusu wa kwanza kucomment.
 
Back
Top Bottom