Swali;Kipo kipindi chaja, mishahara itakuwa kizungumkuti!
Lakini pia, sio ajabu tukisikia bandari mojawapo imechukuliwa na wakopeshaji wetu, tusije laumu kuwa hatukuambiwa!
Ipo pia siku tukaambiwa, wakati umefika Kwa kila mtanzania kufunga mkanda Kwa kujibana zaidi na kufanya Kazi Kwa kujitolea bila malipo Kwa miezi kadhaa Kwa sababu serikali haina pesa, napo tusiseme hatukutahadharishwa!
Na kuna kipindi chaweza kuwepo Kwa kuambiwa kila mtanzania, aichangie nchi ili tulipie madeni tunayodaiwa ili tu tusifirisiwe, jamani, msije kusema mkuu hakuwaambia
Naenda zangu Burundi mapemaaa!!View attachment 2454531
1. Nani amebarikiwa kati ya AKOPAYE na AKOPESHWAYE?
Maana imeandikwa, AKOPAYE ni mtumwa wake Yeye Aliyemkopesha.
Nawaasa viongozi waache mawazo ya kitumwa,
Tufanye KAZI Kwa bidii, tule Kwa JASHO letu na tisaidie majirani wenye njaa.
Aamen.