Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

TRA inakusanya karibu tril 2. Mishahara haizidi .6 tril.
Kwa hesabu hizi, HAIWEZEKANI serikali ishindwe kulipa mishahara...
 
In physics wanasema “if everything else remains constant …” sasa hizo trilion za tra umeuliza safari za nje nani analipa? Za ndani je? Safari za wastaafu nani analipa na matibabu pamoja na wake na familia zao? Magari na gharama za kuyaendesha diesel nani analipa? Kila siku Dodoma- Dar nani analipa? Nani anagharamia matumizi ya CCM politburo yote ?
 
Bhaeleze baba
 
Mbona umesahau na ile ya urefu wa Kamba!!?
 
Kwa wapumbavu kama nyie hamkumuelewa ndugai badala yake mkashangilia kusimangwa kwake bila kujua bunge ndio lililoshambuliwa!

Watu aina ya mleta mada ni wapumbavu sana
 
TRA inakusanya karibu tril 2. Mishahara haizidi .6 tril.
Kwa hesabu hizi, HAIWEZEKANI serikali ishindwe kulipa mishahara...
Sehemu ya mapato yanayokusanywa yanaenda kulipa deni la taifa ambalo kiuhalisia ni kubwa mno. Hapo bado matumizi mengine yasiyo ya msingi.

Bila kusahau kwamba kuna ukwapuaji mkubwa unaoendelea kipindi hiki kwa mgongo wa sheria. Fikiria haya tu:

Baadhi ya fedha za jamhuri zinapelekwa kutumika upande wa pili wa muungano (Zanzibar) hata kwenye mambo yasiyo ya muungano (Non-Union Matters). Tena wanapewa kiwango kikubwa kisichozingatia uwiano wa idadi ya watu baina ya hizi nchi mbili.

Lakini, kubwa zaidi ni kwamba siku hizi Zanzibar inakopa kwa kutumia mgongo, kivuli na jina la jamhuri ya Muungano. Ilhali kisheria Zanzibar inaruhusiwa kukopa kwa jina lake yenyewe huku serikali ya Jamhuri ikiwa mdhamini.

Hapa unadhani mishahara itapatikana kirahisi tu ???..

Mambo ya hovyo yanaendelea sana Tanzania, halafu hata hamstuki.
 
Moja ya hekima kama mtu mzima na kichwa cha familia ni pale unajua hali ni mbaya ila watu wanaokutegemea unawapa matumaini ..

Nina maana gani? 👉 Magufuli alikuwa kiongozi shupavu kuwatia watu moyo japo sio wote wanaweza kuelewa kwamba alikuwa akisema tunazo pesa na tunafanya kwa pesa za ndani kisirisiri alikuwa anakopa hii tunaita UANAUME...mtabisha ila siku ukiwa na familia na hali ikiwa mbaya utakuja kuelewa ..
Vile story za kali chakula hamna ila wazazi wanabandika mawe nyie mchochee Kuni kuwapa hope kwamba Kuna chakula mpaka mnalala ilihali yalikuwa ni mawe Zina mafunzo ndani yake jinsi ya kuhandle hali ngumu mbele ya wanaokutegemea ..

Nchi yetu haijafika hatua ya kufilisika na deni ni stamilivu so hamna haja ya kuleta wasiwasi kwa wananchi ..
 
Hata ktk ngazi ya familia ikifikia mahala watoto wanaomba chakula halafu baba anatoa majibu kama haya, ujue mwafwa!

Kwamba "chakula leo hakuna kwasabb jirani aliyekuwa kanikopesha fedha kaja leo asubuhi nimempa hela ya chakula cha leo. Na ili jirani huyu asichukue makochi na TV ilinilazimu kumlipa".

Kauli hii inaashiria tuko pabaya kama taifa, kauli ya kuishiwa pumzi ya kiuchumi, tunafilisika na nchi inaenda kupigwa mnada very soon.

Ndugai kama namuona vile!! Maana anaona angalizo lake lililopuuzwa sasa linatimia.

Sexless
Wewe na ndungayeye wote mna akili sawa za kisukuma gang
 
Kwa wapumbavu kama nyie hamkumuelewa ndugai badala yake mkashangilia kusimangwa kwake bila kujua bunge ndio lililoshambuliwa!

Watu aina ya mleta mada ni wapumbavu sana
Atake asitake tutamwongezea muda, hii kauli ya kijinga sana, sasa mtu kama huyo ana uwezo gani wa kuongoza bunge? Hawa watu ndiyo walimdanganya mwendazake kuhusu corona mpaka ikapita naye
 
Atake asitake tutamwongezea muda, hii kauli ya kijinga sana, sasa mtu kama huyo ana uwezo gani wa kuongoza bunge?
Udhaifu wa Ndugai umeonekana tu mara baada ya kuonya juu ya ukopaji wa fedha nje uliokithiri?
 
Hata ktk ngazi ya familia ikifikia mahala watoto wanaomba chakula halafu baba anatoa majibu kama haya, ujue mwafwa!

Kwamba "chakula leo hakuna kwasabb jirani aliyekuwa kanikopesha fedha kaja leo asubuhi nimempa hela ya chakula cha leo. Na ili jirani huyu asichukue makochi na TV ilinilazimu kumlipa".

Kauli hii inaashiria tuko pabaya kama taifa, kauli ya kuishiwa pumzi ya kiuchumi, tunafilisika na nchi inaenda kupigwa mnada very soon.

Ndugai kama namuona vile!! Maana anaona angalizo lake lililopuuzwa sasa linatimia.

Sexless
Wewe si muimba mapambio,endelea na unoko wako
 
Atake asitake tutamwongezea muda, hii kauli ya kijinga sana, sasa mtu kama huyo ana uwezo gani wa kuongoza bunge? Hawa watu ndiyo walimdanganya mwendazake kuhusu corona mpaka ikapita naye
Wewe ni takataka
 
Back
Top Bottom