gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Kwahiyo kama hizo nyingine hajui zinaenda wapi hizi anazojua asiseme?.akili zakijinga kabisa hizi.Unajifanya una uchungu sanaa ilhali pesa nyingne nyingi hujui zinaenda wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kama hizo nyingine hajui zinaenda wapi hizi anazojua asiseme?.akili zakijinga kabisa hizi.Unajifanya una uchungu sanaa ilhali pesa nyingne nyingi hujui zinaenda wapi?
Kwa hiyo waliopo wasipewe motisha?Anadakia kipi?Kwani yeye si Mtanzania?Acha ukuda kama kizee kichawi.Unaumia nini?Ujinga mtupu!
Soka wekeza groundroots Sio kudakia dakia!
Nadhani hoja sio matumizi ya pesa bali mipango madhubuti yakuinua sekta ya michezo ndicho kinachojadiliwa na wenye mawazo mbadala wanaona njia inayotumika haina faida ya muda mrefu.Unaposema anatumia vibaya fedha za wananchi, wale anaowapa siyo wananchi? Hebu fikiria mfano huu, kisima cha maji kimejengwa huko Simanjiro kwa fedha za kodi zetu kama ilivyo kwenye mpira, MTU ALIYEKO LIULI HUKO NYASA ANAFAIDIKA NINI NA KISIMA HICHO? Ni sawa na hili la kutoa fedha kwenye michezo..!! Hakuna mradi au jambo litafanywa kwa kodi zetu halafu liguse watanzania wote kwa usawa. Hawa wanapata hili na wale wanapata lile. Hata wakati daraja la mkapa linajengwa, mtu aliyeko Karagwe wala halikumuhusu
Ungeeleza kwamba zawadi atoe na ashiriki kusaidia uibuaji wa vipaji vipya,sawa.Kukataa waliopo sasa wasipewe motisha na kuzidisha morali unakwama.Tanzania ina masononeko mengi sana.Hautaki tufurahi hata kwenye mpira?Acha hizo ustaadh!Nadhani hoja sio matumizi ya pesa bali mipango madhubuti yakuinua sekta ya michezo ndicho kinachojadiliwa na wenye mawazo mbadala wanaona njia inayotumika haina faida ya muda mrefu.
We ndo una akili za kitoto sanaa kama co hvy tuna wasi wasi na uraia wako maana huwezi kuanza kusema eti hizo ni za wananchi sasa sielewi nchi itapata wapi helaKwahiyo kama hizo nyingine hajui zinaenda wapi hizi anazojua asiseme?.akili zakijinga kabisa hizi.
We ndo una akili za kitoto sanaa kama co hvy tuna wasi wasi na uraia wako maana huwezi kuanza kusema eti hizo ni za wananchi sasa sielewi nchi itapata wapi helaKwahiyo kama hizo nyingine hajui zinaenda wapi hizi anazojua asiseme?.akili zakijinga kabisa hizi.
Kwahiyo badala ya kuwekeza kwenye academies ili tuje kuwa na timu bora zaidi mbeleni, we unaona ni sawa kuwa mnasubiria afcon zikikaribia ndio mnaanza kudandia mabehewa?Uwekezaji si mambo ya long term, hii ni ishu ya short term
Ndo hapa tulipopata pigo kupata raisi mwanamke wanawake wanakuwaga na vinyongo,yaani kaaona tunamsema kwa kununua Magori ya simba na yanga,leo kaongeza dau imekuwa 10mln kwakweli tunatakiwa kufanya maombi kama tunavyofanya wakati wa kuomba mvua au kutuepusha na majanga.Tunaelekea kubaya mana anaweza Amaua ata kuuza nchi tu kisa tumemsema haache kukopa akatukopea.Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila goli ambalo Taifa Stars itafunga katika michuano ya kufuzu fainali ya michuano ya AFCON inayoendelea.
Taarifa iliyotolewa leo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa imesema Rais Samia ameahidi kuanza kutoa fedha hizo kuanzia mechi ijayo ambapo Taifa Stars itarudiana na Timu ya Taifa ya Uganda (Uganda Cranes) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Ahadi hiyo inakuja wakati ambapo pia ameahidi kuipatia timu hiyo donge nono la TZS milioni 500, endapo itafanikiwa kufuzu mashindano hayo ambayo yatafanyika Januari 2024 nchini Ivory Coast.
Aidha, Rais Samia amewapongeza Wachezaji, Benchi la Ufundi, TFF na Wadau wote walioshiriki katika maandalizi ya Taifa Stars.
kuna wakati uwa najiuliza kwamba kifo cha JPM ulikuwa mpango wa Mungu au Shetani?.Kama ni Mungu kwanini aliruhusu haya yatokee akujua kwamba hii nchi ni masikini alafu anatupatia mtu atakaye kuja kutufilisi zaidi jamani?.Halafu anabeba kopo kwenda kuombeleza nje,
Ndio maana chama lenu la machadema limebaki lilivyo sababu ya mipango ya zima moto kama hii anayofanya huyu bibienuKwa hiyo waliopo wasipewe motisha?Anadakia kipi?Kwani yeye si Mtanzania?Acha ukuda kama kizee kichawi.Unaumia nini?
Uliwahi kuniona na kadi ya CHADEMA?Unazeeka hadi umegeukia kazi ya uchawi.Muacheni Mama Samia atoe motisha kwa vijana.Wewe kachimbe magimbi shambani uuze upate hela ya kununulia chumvi na kiberiti.Ndio maana chama lenu la machadema limebaki lilivyo sababu ya mipango ya zima moto kama hii anayofanya huyu bibienu
Yule aliyekuwa ananunua wabunge na madiwani wa upinzani alitumia kiasi gani cha pesa?! Alikuwa anajenga nchi au alikuwa anajijenga yeye kisiasa?Samia hafai kuwa rais wa hii nchii....anatupoteza wa tanzania...anachukulia jukwaa la mpira kufanya siasa...uwekezaji wa mpira ni long strategic plan siyo kudandia kwa mbele...mnazani izo hela anaweza kutoa kwa miaka 2 mfululizo[emoji23][emoji23] anatumia vibaya pesa za wananchi wakati kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya