Rais Samia kununua kwa milioni 10 kila goli la Taifa Stars kufuzu AFCON

Nadhani hoja sio matumizi ya pesa bali mipango madhubuti yakuinua sekta ya michezo ndicho kinachojadiliwa na wenye mawazo mbadala wanaona njia inayotumika haina faida ya muda mrefu.
 
Nadhani hoja sio matumizi ya pesa bali mipango madhubuti yakuinua sekta ya michezo ndicho kinachojadiliwa na wenye mawazo mbadala wanaona njia inayotumika haina faida ya muda mrefu.
Ungeeleza kwamba zawadi atoe na ashiriki kusaidia uibuaji wa vipaji vipya,sawa.Kukataa waliopo sasa wasipewe motisha na kuzidisha morali unakwama.Tanzania ina masononeko mengi sana.Hautaki tufurahi hata kwenye mpira?Acha hizo ustaadh!
 
Kwahiyo kama hizo nyingine hajui zinaenda wapi hizi anazojua asiseme?.akili zakijinga kabisa hizi.
We ndo una akili za kitoto sanaa kama co hvy tuna wasi wasi na uraia wako maana huwezi kuanza kusema eti hizo ni za wananchi sasa sielewi nchi itapata wapi hela
 
Uwekezaji si mambo ya long term, hii ni ishu ya short term
Kwahiyo badala ya kuwekeza kwenye academies ili tuje kuwa na timu bora zaidi mbeleni, we unaona ni sawa kuwa mnasubiria afcon zikikaribia ndio mnaanza kudandia mabehewa?
 
Ndo hapa tulipopata pigo kupata raisi mwanamke wanawake wanakuwaga na vinyongo,yaani kaaona tunamsema kwa kununua Magori ya simba na yanga,leo kaongeza dau imekuwa 10mln kwakweli tunatakiwa kufanya maombi kama tunavyofanya wakati wa kuomba mvua au kutuepusha na majanga.Tunaelekea kubaya mana anaweza Amaua ata kuuza nchi tu kisa tumemsema haache kukopa akatukopea.
 
Halafu anabeba kopo kwenda kuombeleza nje,
kuna wakati uwa najiuliza kwamba kifo cha JPM ulikuwa mpango wa Mungu au Shetani?.Kama ni Mungu kwanini aliruhusu haya yatokee akujua kwamba hii nchi ni masikini alafu anatupatia mtu atakaye kuja kutufilisi zaidi jamani?.
 
Kwa hiyo waliopo wasipewe motisha?Anadakia kipi?Kwani yeye si Mtanzania?Acha ukuda kama kizee kichawi.Unaumia nini?
Ndio maana chama lenu la machadema limebaki lilivyo sababu ya mipango ya zima moto kama hii anayofanya huyu bibienu
 
Ndio maana chama lenu la machadema limebaki lilivyo sababu ya mipango ya zima moto kama hii anayofanya huyu bibienu
Uliwahi kuniona na kadi ya CHADEMA?Unazeeka hadi umegeukia kazi ya uchawi.Muacheni Mama Samia atoe motisha kwa vijana.Wewe kachimbe magimbi shambani uuze upate hela ya kununulia chumvi na kiberiti.
 
halafu tunaenda kukopa hela hizihiz kwa mabeberu au kuwaomba msaada wa ujenzi wa vyoo.... Mabeberu nao wanatuchora tu.
 
Yule aliyekuwa ananunua wabunge na madiwani wa upinzani alitumia kiasi gani cha pesa?! Alikuwa anajenga nchi au alikuwa anajijenga yeye kisiasa?
 
Mnategemea huyu mama afanyeje kama bado amezungukwa na kina Grayson Msigwa?
Wanamdanganya kuwa ukitoa toa pesa utakuwa popular kumbe wao ndio wanatafuta popularity kwa fedha hizo.
Timu hizi hazishindi kwa kutoa motisha ya magoli bali kwa uwekezaji unaoeleweka.
Ni aibu Rais anatamka kutoa mamilioni kwa kulipia magoli lakini uwanja unakosa hata miundo mbinu ya kuvuta maji ya mvua hadi uwanja unapigwa deki kama nyumba ya mabondeni!
Acheni kumpaka mama mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…