BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
"Hakuna jambo baya kama unamfanyia mtu ubaya/uadui halafu yeye anakukalia kimya tu.mbaya Sanaa"Mwanzoni nilikuwa siamini kuwa ukimya wa rais kwa wanaotoa matusi kwake kuhusu suala la bandari kuna watu unawaumiza na kuwakosesha amani, ila kwa post yako hii nimeamini wewe ni mmoja wa wanaosumbuliwa kisaikologia na ukimya wa rais.