Mwanzoni nilikuwa siamini kuwa ukimya wa rais kwa wanaotoa matusi kwake kuhusu suala la bandari kuna watu unawaumiza na kuwakosesha amani, ila kwa post yako hii nimeamini wewe ni mmoja wa wanaosumbuliwa kisaikologia na ukimya wa rais.
Wajinga ni wajinga tu hata uwe mmarekani kwahy mtanzania mjinga kama wewe utakuwa mjinga na mtanzania mwerevu atabaki kuwa mwerevu kama unabisha andamana.
Wapo majenerali waliowahi kushika mipini na ufisadi kamili eg Mobutu , Bokassa, Gaddafi nk. Where are they now ?!. Hata watoto wao hawazifaidi hizo mali.