Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Yaani ni awamu ile, wahuni walimpangia safari JK ya mwaka mzima, anakaa huko wiki 2 akiridi anazuga ziara ya kikazi mkoa mmoja ama 2 anatoweka tena hivyo hivyo.

Na huyu mama mtindo ndio huo huo.

Tusubiri tuone.
Huenda anapangiwa safari kimkakati labda(labdaaa).
 
Mama anaenda kushiriki maonesho aina ya sabasaba kweli? Ndio amefikia hatua hii?

Nalisikitikia taifa langu la Tanzania kwa kupata mzurulaji mzuri kama huyu
Mbona hakuna taarifa rasmi Ikulu?
 
Ikulu hapakaliki, mzilankende anamtesa sana huyu mama. Inamaana serikali imekosa kabisa namna ya kumsaidia?? Sasa atatafuta mianya ya safari hadi lini?

Anatamani siku moja iwe sawa na mwaka mmoja ila ndohivyo haiwezekani.
 
Wewe jamaa hadi aibu kuombea mama kuludi na hela. Hivi kweli kwa akili tu ya kawaida unazani kuna hela za bure uko anakoenda? Si bora ungesema analudi na wawekezaji
Umewahi ona wapi Samia anafanya ziara za hasara kama Mwendazake?

Aibu gani unayoisemea wewe? Pesa ni za mkopo na kama ni msaada ni jambo la Nchi husika kujiskia kutoa kwa sababu za urafiki nk..

China alipotoa msaada wa kujenga Tazara na Sasa kajenga Chuo cha Uongozi cha ccm umempa nini?

China huyo huyo kajenga Makao Makuu ya AU hapo Addis Ababa,walidai nini?

Mwisho,Rais kaenda Ufaransa si tuu karudi na connection za wafanyabiashara bali na pesa za mkopo na msaada juu.

Huko anakoenda ni sehemu ya jukwaa la biashara kwa hiyo inategemeana atakutana na makundi gani.

Wewe kwa akili yako umeona Serikali ya Samia ina struggle kutekeleza miradi iliyomtoa makamasi Mwendazake?
 
Hapo tayari M/kiti wa kamati ya mapokezi yupo busy anandaa bajeti ya kumpongeza na kumpokea Bihanganya pindi atakaporudi
 
Hahaha nadhani wewe ni zao la zile division four za 28 za kipindi kile cha JK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…