Rais Samia kuongoza CC ya CCM leo, macho na masikio ya Watanzania ni majina ya Walioteuliwa kugombea nafasi za Mkoa na Taifa

Rais Samia kuongoza CC ya CCM leo, macho na masikio ya Watanzania ni majina ya Walioteuliwa kugombea nafasi za Mkoa na Taifa

===
Ni masaa machache tu baada ya kurejea kutoka katika Mkutano wa Dunia wa Uhifadhi wa Mazingira wa 27 yaani COP27 huko Nchini Misri,

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Dodoma.
View attachment 2414119
#CCMImara
#KaziIendelee
Chama cha Mapinduzi kina rangi nzuri ila tatizo kimejaa mafisadi na majizi ya keki ya taifa.
 
Laiti ccm ingesimamia misingi ya kuanzishwa kwake Tz ingekuwa nchi moja inayokimbiliwa na wageni kama South Afrika. Ila shida ndio hiyo chama kimejaa mediocres kuanzia grassroot.
Lakini Kwanini CCM ndio Chama kinachopendwa zaidi barani Africa kwa Sasa?
 
Rais bado yupo Dsm

JTatu ana mkutano Dsm
 
Lete takwimu.

Labda nikwambie tu hata Dikteta Putin anapendwa sana barani mwemu na hasa raia wasiojitambua. Hiyo haimaanishi Putin ni mtu mzuri.
Unamaanisha watu wote wanaoipenda CCM ni wajinga?
 
Fukuza Muongo na Mpini wanachafua hali ya hewa
Ninyi ni majini wanyonya kodi za wananchi hamuezi furahia kuanikwa kwa unyonyaji mfanyao
Prof. Muongo ameeleza ukweli kwamba uchumi umeshuka na sababu hasa ambazo ninyi vilaza mmesababisha uchumi kushuka. Mh. Rais amekiri hilo!

Mpina ameeleza wazi ukiukwaji wa ziada ya mikopo nje ya kiasi kilichokubaliwa bungeni, ameeleza pia habari za misamaha ya kodi ambayo imetolewa.

Unataka upigiwe makofi kwamba u doing good? Sahau huo upumbavu haupo tena!
U wil be told black&white kwa manufaa ya uelewa wa walipa kodi!!
 
Mngekuwa na akili nyie CCM msingekuwa mnajibu chochote kuhusu wizi kwenye chaguzi zetu,mana ni jambo lilo waza sana!

Ni bora muendelee na mapambio tu....
Tatizo hii mijitu haina akili kabisa
 
===
Ni masaa machache tu baada ya kurejea kutoka katika Mkutano wa Dunia wa Uhifadhi wa Mazingira wa 27 yaani COP27 huko Nchini Misri,

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Dodoma.
View attachment 2414119
#CCMImara
#KaziIendelee
Kazi iendelee
 
Back
Top Bottom