Rais Samia kupokea Gawio na Michango kutoka Mashirika na Taasisi za Umma, Matukio kurushwa live kupitia vyombo vyote vya habari

Umaskini utaondolewa kwanza na wewe kwa mikono yako mwenyewe kwa kufanya kazi kwa juhudi ,bidii na maarifa.

Lucas hili sio jibu, umejibu upumbavu mkubwa hapa, it seems hujui the root causes ya umaskini na how to tackle poverty from its root causes..!! Hata ufanya kazi kwa bidii na akili na maarifa kuliko kawaida, kukiwa hakuna misingi ya sera bora ya kuwawezesha wananchi, kuwa free grand corruption country, utawala bora, kuwekeza kwa wazawa kwanza, natural resources zetu zitumike to benefit our citizens, hata ufanye kazi vipi hutafanikiwa..!! So jua kama Taifa tuna wajibu wa kuhakikisha hizo misingi ya sera bora, kuzuia kabisa rushwa kubwa sanaaaa na utawala bora vinatawala hapo utaona maendeleo..!!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana lenye maslahi mapana kwa Taifa letu na lenye kuonyesha hali nzuri na yenye Matumaini na ustawi mzuri wa uchumi wetu.

Ni tukio la kupokea Gawio na michango kutoka mashirika na taasisi mbalimbali za umma. Ambapo zitatoa kwa serikali Gawio na michango kutokana na faida iliyopatikana.,inayotokana na mazingira wezeshi na mazuri yaliyowekwa na kuboreshwa na serikali ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia. Ni Gawio na Michango halali na siyo Gawio la kulazimishwa au kupika Takwimu.

Ni Gawio na michango inayoonesha na kutoa picha na taswira ya kuongezeka kwa ufanisi katika uendeshaji wa taasisi na mashirika ya umma, hasa baada ya maelekezo Mazito Sanaa ya Mheshimiwa Rais yakutaka kuongezwa ufanisi na ubunifu kwa mashirika na taasisi zote za umma. Ni gawio na Michango inayoonyesha muelekeo mzuri wa kuondoa hasara kwa mashirika na taasisi za umma.lakini pia kuonyesha kuanza kuwa mashirika yenye faida na tija badala ya kuwa mashirika Mzigo ,tegemezi na kupe kwa serikali na kodi za watanzania.

Tutarajie hotuba nzito sana kutoka kwa Amiri Jeshi mkuu Daktari Samia Suluhu Hasssan,yenye kutoa muongoza na Dira pamoja na maelekezo kwa Masuala mbalimbali Mtambuka. Tukio hilo litakuwa live kupitia vyombo vyote vya habari hapa Nchini pamoja na mitandao yote ya kijamii.usipange kukosa wala usisubiri kuhadithiwa maana utakuwa umekosa mambo mengi sana na utajuta sana maishani mwako. Andika historia yako mwenyewe kwa kufuatilia tukio la leo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mams ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
🆗👌
 
Serikali haitakuondolewa umaskini wako ikiwa wewe hutatimiza wajibu wako kwa kufanya kazi kwa bidii ,juhudi na maarifa. Kazi ya serikali ni kukuwekea mazingira mazuri na wezeshi Mwananchi. Ambapo serikali yetu chini ya uongozi Mahiri wa Rais Samia imefanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa sana.

Mfano tukianza kwa wakulima.imemuwezesha kuhakikisha mkulima anapata pembejeo hususani mbolea kwa wakati na bei rafiki kabisa.kwa kutoa mabilioni ya Ruzuku. Laini pia serikali imekuwa ikiweka soko zuri kwa mazao ya mkulima ikiwepo kununua mazao ya mkulima kwa bei nzuri kabisa .

Ukija katika biashara nako unakuta serikali imeweka mazingira mazuri sana ya biashara,ndio sababu unaona biashara zikifunguliwa kila uchwao
 
Chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais Samia na maelekezo yake mazito kwa Mashirika na taasisi za umma,kumekuwa na kuongezeka kwa ufanisi pamoja na ubunifu katika uendeshaji wa taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.hali iliyoleta tija na kuleta faida baada ya kuondokana na kuziba mianya iliyokuwa ikileta hasara kwa mashirika na taasisi hizo.
🤣 🤣 🤣
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana lenye maslahi mapana kwa Taifa letu na lenye kuonyesha hali nzuri na yenye Matumaini na ustawi mzuri wa uchumi wetu.

Ni tukio la kupokea Gawio na michango kutoka mashirika na taasisi mbalimbali za umma. Ambapo zitatoa kwa serikali Gawio na michango kutokana na faida iliyopatikana.,inayotokana na mazingira wezeshi na mazuri yaliyowekwa na kuboreshwa na serikali ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia. Ni Gawio na Michango halali na siyo Gawio la kulazimishwa au kupika Takwimu.

Ni Gawio na michango inayoonesha na kutoa picha na taswira ya kuongezeka kwa ufanisi katika uendeshaji wa taasisi na mashirika ya umma, hasa baada ya maelekezo Mazito Sanaa ya Mheshimiwa Rais yakutaka kuongezwa ufanisi na ubunifu kwa mashirika na taasisi zote za umma. Ni gawio na Michango inayoonyesha muelekeo mzuri wa kuondoa hasara kwa mashirika na taasisi za umma.lakini pia kuonyesha kuanza kuwa mashirika yenye faida na tija badala ya kuwa mashirika Mzigo ,tegemezi na kupe kwa serikali na kodi za watanzania.

Tutarajie hotuba nzito sana kutoka kwa Amiri Jeshi mkuu Daktari Samia Suluhu Hasssan,yenye kutoa muongoza na Dira pamoja na maelekezo kwa Masuala mbalimbali Mtambuka. Tukio hilo litakuwa live kupitia vyombo vyote vya habari hapa Nchini pamoja na mitandao yote ya kijamii.usipange kukosa wala usisubiri kuhadithiwa maana utakuwa umekosa mambo mengi sana na utajuta sana maishani mwako. Andika historia yako mwenyewe kwa kufuatilia tukio la leo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mams ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chini ya Uongozi madhubuti wa Rais, comrade Dr Samia Suluhu Hassan, ufanisi, uwazi na uwajibikaji katika utendaji wa mashirika, Taasisi na mamlaka mbalimbali za umma umeongezeka kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na wakati mwingine....

hongera mama Dr Samia Suluhu Hassan, hongera wakuu wa mashirika kwa kufanya kazi kwa weledi na bidii sana 🐒
 
CHADEMA watapinga maana wamekuwa pinga pinga kwa kila kitu .
 
Wewe kaa pembeni tu maana haya mambo yapo juu ya uwezo wa akili yako.
Wewe unajua nini zaidi ya kusifia ili utupiwe makombo? Kampuni zilitoa gawio serikalini wakati huo huo zinaendeshwa kwa hasara au ishu ya TTCL ulikuwa bado kwenye boxer ya dingi wako. Kwenye masuala haya wewe ni kilaza kabisa tena tunapokaa sisi kuyajadili wewe chukua Kopo uende maliwatoni ukajiswafi.
 
Wewe akili yako ni chafu sana na ndio maana lugha zako ni chafu chafu tu utafikiri uchafu wa jalalani.
 
Nimeshuhudia huku mitaani Watu wakiwa na shauku na kiu kubwa sana ya kusubiri tukio hilo.
mama asubiri kwanza amuondoe huyu mlawiti Halafu ndio aendelee anachafuliwa na watu kama hawa
 
Attachments

  • DB43CD00-1355-43CD-B21C-07DFE13609D2.jpeg
    DB43CD00-1355-43CD-B21C-07DFE13609D2.jpeg
    127.9 KB · Views: 1
  • 412DF8F3-821D-44D8-A57E-FB843651AA6D.jpeg
    412DF8F3-821D-44D8-A57E-FB843651AA6D.jpeg
    180.2 KB · Views: 1
mama asubiri kwanza amuondoe huyu mlawiti Halafu ndio aendelee anachafuliwa na watu kama hawa
CCM kuna ushetani mwingi sana,sasa mambo gani tena haya ya mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani kuanza kuwalawiti watoto wa watu? Hili chama limeshalaaniwa.
 
Back
Top Bottom