Muikizu muelewa
Member
- Jul 28, 2021
- 35
- 31
Si walisema zinatia hasara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😝😝Sawa sawa, piga kelele kwa Mama yake 🤏👌
Mama anaupiga mwingiiii!!!!Sawa sawa, piga kelele kwa Mama yake 🤏👌
Hii nchi ipo kwenye auto-pilot mode 🤣 🤣 ,pengine rubani halisi yupo kuzimu.Rais Samia Suluhu Hassan kesho Julai 30, 2021 atapokea ndege mpya ya Tanzania (Bombadier DASH 8-Q400) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Ndege hiyo ni miongoni mwa ndege 11 Serikali ilizoahidi kununua (tayari ndege nane zimepokelewa nchini).
Kazi na iendelee!
Safi sana mamaa.. Tanzania tunazidi kusonge mbele, huku yule mkwamishaji wetu akinyea debe.Rais Samia Suluhu Hassan kesho Julai 30, 2021 atapokea ndege mpya ya Tanzania (Bombadier DASH 8-Q400) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Ndege hiyo ni miongoni mwa ndege 11 Serikali ilizoahidi kununua (tayari ndege nane zimepokelewa nchini).
Kazi na iendelee!
Mama tena [emoji849]Sawa sawa, piga kelele kwa Mama yake 🤏[emoji108]
Hizi zilishawekewa order kwenye awamu ya JPM kwahiyo hatuna ujanja lazima zije tu zote.Hivi hawa watu hua wanatuonaje?
CAG anaongea hadi koo linakauka anagonga glass ya maji ya baridi mbele ya kamera akisisitiza shirika letu la ndege ni hasara mwanzo mwisho...tukiwa bado tunaugulia maumivu ya tozo, unapigwa kanzu na mapokezi ya dege jingine.
Mzigo mwingine wa madeni kwa mtanzania unapokelewa kesho uwanjani.Rais Samia Suluhu Hassan kesho Julai 30, 2021 atapokea ndege mpya ya Tanzania (Bombadier DASH 8-Q400) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Ndege hiyo ni miongoni mwa ndege 11 Serikali ilizoahidi kununua (tayari ndege nane zimepokelewa nchini).
Kazi na iendelee!
Athari za mitano ya Mwendazake zitadumu kwa muda mrefu ndio maana mama anaamua kufuata humo humo.Hizi zilishawekewa order kwenye awamu ya JPM kwahiyo hatuna ujanja lazima zije tu zote.
Hasara nyingine hiyooo!BAVICHA LAZIMA WABISHE YAANI WANAUMIA ROHOHAKUNA MFANO