Rais Samia kupokea ndege mpya ya ATCL Julai 30, 2021

Rais Samia kupokea ndege mpya ya ATCL Julai 30, 2021

Kwa sasa ndege hazina faida ni afadhali wakavunja mkataba ili turudishiwe fedha zetu.
Tukivunja mkataba hela hairudi na tutapigwa faini ya kuvunja mkataba..hela itaishia huko huko kwa wanasiasa
 
Hii nchi imekosa vipaumbele kabisaaaaa
Kweli vipaumbele vyetu ni vifurushi vya simu na miamala badala ya kuhakikisha kila mwananchi anapewa bando na vifurushi vingi vya kutosha, eti bado wana leta ndege nyingine!

Imagine, hela hiyo ingegawiwa kwa wananchi kwa ajili ya vipa umbele vyetu vya taifa! Serikali ya CCM inakwama wapi? Heri tupate katiba mpya! Maana haya yote ya miamala ya simu, yameelekezwa vizuri kwenye katiba mpya!
 
Nilishausahau huu mchezo kumbe bado unaendelea, zile zilizopo mpaka ripoti ya mwisho ya CAG zilikuwa zinatengeneza hasara, labda hiyo mpya itakuja na mambo mapya.
Ngoja tusubiri tuone [emoji2958][emoji2958][emoji2958]
 
Hela za kununua ndege zinazoingiza hasara zipo ila hela za kujenga barabara na maji ni mpaka wananchi waogezewe tozo
 
Duh inakuja saa ngapi niende nikaicheki
 
Serikali ya Tanzania sasa inabidi muache hii tabia aibu ya ushamba na ulimbulikeni kwenda kupokea ndege Airport.
Inafikirisha sana karne ya 21 leo hii serikali ikiongozwa na viongozi waandamizi kukusanyana uwanja wa ndege kwa sababu tu ya kupokea ndege .

Sitegemei kusikia tena Rais unakwenda kupokea ndege airport.
 
Ccm Hoyee
Ccm Ni Ile Ile 😃😂😁😀😅😄😆😆
IMG-20210730-WA0008.jpg
 
You can't expect 3rd world countries to behave like a 1st world country....A small step there is a giant leap here...
 
Back
Top Bottom