Rais Samia kushinda uchaguzi ujao kwa Asilimia 86% kihalali Uchaguzi ujao 2025

Labda apate kura za Wazanzibar anaowapelekea pesa anazotupora Watanganyika
 
Mimi nawashangaa sana ccm wenzangu kwa nini hatutaki tume huru ya uchaguzi wakati tuna asilimia kubwa ya ushindi kama hii ,kwanini tusikubali TUME HURU ili tuwafunge midomo hivi VIZABIZABINA vya UPINZANI
 
Hongera mama Samia, wewe ni msikivu , jambo ambalo bwana yule hakua nalo...
 
Tunaimani na Samia tunaimani atatupa katiba mpya samia tena 2025 /2030
 
Mama for 2025...kazi isonge
 


Kama chaguzi zinapangwa na usalama unaweza kupanga asilimia yoyote kama 2020πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tumefika hapo Tanzania
 
Ina maana mnayo Tanzania yenu tofauti na hii yenye mfumuko wa Bei usioelezeka?

Muogopeni Mungu kwanza aisee!
 
Mimi sukulaumu sana mtoa mada, ila nakupongeza kwa kuandika KUNYUME cha mambo.
 
Trust me or not Samia hata agombanie na mawe Watu watachagua mawe
 
Habari kama hizi ambazo inawezekana sio kweli zisiruhusiwe zinamchafua Rais wetu wahusika wawajibishwe Kwa Sababu unamchafua kiongozi wa nchi Kwa habari ambazo zinaweza kuwa za kizushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…