Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Mkuu, wengi huwa wanajitoa ufahamu, kwa kujifanya kusahau hiki ulichokieleza.Ndugu,
Yaonekana kabisa kama wewe ndio bado umebaki wajifanya hujui vizuri.
Kwa Tume ya Uchaguzi na Katiba iliyopo; CCM haihitaji kupata kura za mtu yeyote hata ya kwako ili 'kushinda'. Hata kama watu 'wote' hamtaenda kupiga kura, wao kupitia maDED, NEC na vyombo vya dola watapanga na kupata ushindi kwa jinsi wanavyoutaka.
Uhalisia, hawa jamaa waaalaaaa hawahitaji kura zetu ili washinde uchaguzi!