Rais Samia kushinda uchaguzi ujao kwa Asilimia 86% kihalali Uchaguzi ujao 2025

Yaani Tayari Unatengeneza Mazingira Upate Teuzi
 
Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.

Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi ujao.

Uchaguzi ujao Rais Samia atashinda asilimia 86% kihalali sababu ni kuwa kila mtanzania atakua na hela. Biashara zitakuwa zimechangamka, viwanda sio vyerehani nasema viwanda vitakuwa nchi nzima vijana watapata ajira, watumishi watapata nyongeza za mshahara, sekta binafsi itakuwa imeimarika zaidi na zaidi.

Pia hakuna mpinzani ndani na nje ya chama wa kushindaniwa na Rais Samia. Nawek rekodi sawa mwaka 2025 sio mbali.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Mbowe atakuwa bado jela?

Tume na Polisi watakuwa bado ni wale wale?
 
Nakubali sana fedel casto akili kubwa
 
Watu hiwa wanakaa sijui wanawaza nini tu?? [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hizo 86% mbona kama chache sana. Take it from me. Wakisimamia tena waalimu atashinda kwa 130%.
 
Wacha nikae kimya nisje pigwa burn bure ila Mreta mada hujui ulisemalo juha wewe
 
FFmdYLmXwAQtpw-.jpeg
 
Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.

Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi ujao.

Uchaguzi ujao Rais Samia atashinda asilimia 86% kihalali sababu ni kuwa kila mtanzania atakua na hela. Biashara zitakuwa zimechangamka, viwanda sio vyerehani nasema viwanda vitakuwa nchi nzima vijana watapata ajira, watumishi watapata nyongeza za mshahara, sekta binafsi itakuwa imeimarika zaidi na zaidi.

Pia hakuna mpinzani ndani na nje ya chama wa kushindaniwa na Rais Samia. Nawek rekodi sawa mwaka 2025 sio mbali.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Mbona ndogo sana hizo,si chini ya 98.5%
 
Mshapanga kabisa na asilimia za kuiba sio!!!
 
Back
Top Bottom