Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

Hongera sana Rais Samia
 
Katika mambo makubwa Rais Samia amefanya ni hili,

Hongera sana Mhe Rais.
 
Haya maelezo ni ya KWELI!? Kama ni kweli basi tutaona maisha yakiwa SUPER kwani gharama nyingi hasa za usafiri na usafirishaji zitapaswa KUSHUKA, kwa hali hiyo then everything will follow suit, if you know what I mean?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…