Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Magufuli aliharibu sana mahusiano na mataifa mbalimbali. Five years of diplomatic isolation.
Kwa hiyo Mama na JK ni kitu kimoja?Rais wa Jamhuri ya muungano mheshimiwa Samia Suluhu anatarajia kulihutubia bunge la Kenya wakati atakapofanya ziara ya siku mbili nchini humo kuanzia kesho kutwa.
Hii no heshima kubwa inayotolewa kwa Tanzania baada ya Jakaya Kikwete kulihutubia bunge hilo wakati akiwaaga rasmi.
No new as a good news" kuhutubia bunge la kenya watanzania watanufaika nini, mishahara naskia haongezi ni blaa blaa tu, mwinyi naye kule zanzibar eti asingizia Corona, wazanzibar washaanza kuamka jamaa anapiga kamba tupu hana jipyaRais wa Jamhuri ya muungano mheshimiwa Samia Suluhu anatarajia kulihutubia bunge la Kenya wakati atakapofanya ziara ya siku mbili nchini humo kuanzia kesho kutwa....
Tunatembea kifua mbereRais wa Jamhuri ya muungano mheshimiwa Samia Suluhu anatarajia kulihutubia bunge la Kenya wakati atakapofanya ziara ya siku mbili nchini humo kuanzia kesho kutwa.
Hii no heshima kubwa inayotolewa kwa Tanzania baada ya Jakaya Kikwete kulihutubia bunge hilo wakati akiwaaga rasmi.
Mkuu kwa akili za kibavicha ni kwamba hiyo wanamkomoa marehemu.No new as a good news" kuhutubia bunge la kenya watanzania watanufaika nini, mishahara naskia haongezi ni blaa blaa tu, mwinyi naye kule zanzibar eti asingizia Corona, wazanzibar washaanza kuamka jamaa anapiga kamba tupu hana jipya
Awashauri kuhusu BBI kuwa wakitaka taifa Moja wafute matumizi ya lugha za kikabila mashuleni,ofisi za serikali ,mikutano ya kisiasa na kwenye media zote kama tulivyofanya Tanzania na serikali isipeleke MTU kufanya kazi eneo alilozaliwa LA kabila yakeRais wa Jamhuri ya muungano mheshimiwa Samia Suluhu anatarajia kulihutubia bunge la Kenya wakati atakapofanya ziara ya siku mbili nchini humo kuanzia kesho kutwa.
Hii no heshima kubwa inayotolewa kwa Tanzania baada ya Jakaya Kikwete kulihutubia bunge hilo wakati akiwaaga rasmi.