Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kama unandika "kutuzalau" badala ya "kutudharau" lazima UDHARAULIWE tu hamna namnaWao walishawah kuja kuhutubia. Wakenya siwapendi wanajidai sana na kutuzalau sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unandika "kutuzalau" badala ya "kutudharau" lazima UDHARAULIWE tu hamna namnaWao walishawah kuja kuhutubia. Wakenya siwapendi wanajidai sana na kutuzalau sana
Eeee, nilikuwa sijawatizama kwa jicho hilo.Yaani bavicha wakisikia Kenya huwa wanailinganisha na Marekani,
Kila bavicha huwa anadream to live in Kenya.
So haishangazi wakifurahia.
Hii ni aibu kwa mwendazake kushindwa kutema yai akabaki kujifungia ndani.Kuhutubia bunge la Kenya ni heshima?
Jamani kwanini chadema mnajidharau sana?
Mimi nilifikiri mnajidharau kwa wazungu tu kumbe hata kwa waafrika wenzenu toka hapo Kenya?
Any way,
Tuendelee kudemka tukisema Samia mi 10 tena. Na ccm mbele kwa mbele.
Kutuzalau = kutudharauWao walishawah kuja kuhutubia. Wakenya siwapendi wanajidai sana na kutuzalau sana
Magufuri aliwapigisha magoti akina Kinyatta,akuwapereka lkuru yetu,kawapeka kijiji chato huko na wakaufiata tena sio mara moja, Magufuri alikuwa kiboko ya manyangau,kapiga pini kwenye madini yetu sasahivi uchumi wa Kenya unapumlia mashine, sasahivi wanamshawishi Samia alegeze kamba kidogo.Tatizo lake ni kwamba anayehutubia siyo Jiwe, na kwamba hakuwahi kupata bahati kama hiyo. Hivi nchi gani ingekubali bunge lake lihutubiwe hotuba kama zile.......
Sasa mbona kama unaona wivu Samia kupewa heshima wewe jamaa vipi?Kuhutubia bunge la Kenya ni heshima?
Jamani kwanini chadema mnajidharau sana?
Mimi nilifikiri mnajidharau kwa wazungu tu kumbe hata kwa waafrika wenzenu toka hapo Kenya?
Any way,
Tuendelee kudemka tukisema Samia mi 10 tena. Na ccm mbele kwa mbele.
Awashauri kuhusu BBI kuwa wakitaka taifa Moja wafute matumizi ya lugha za kikabila mashuleni,ofisi za serikali ,mikutano ya kisiasa na kwenye media zote kama tulivyofanya Tanzania na serikali isipeleke MTU kufanya kazi eneo alilozaliwa LA kabila yake
BBI hili tatizo halijatatua hatutaki watwangane tena watutake watanzania tumpeleke Kikwete akawasuluhishe tena
Naunga mkono hoja. Taratibu tunafuta makosa makubwa sana yaliyofanywa na Mwendazake.Rais wa Jamhuri ya muungano mheshimiwa Samia Suluhu anatarajia kulihutubia bunge la Kenya wakati atakapofanya ziara ya siku mbili nchini humo kuanzia kesho kutwa.
Hii no heshima kubwa inayotolewa kwa Tanzania baada ya Jakaya Kikwete kulihutubia bunge hilo wakati akiwaaga rasmi.
View attachment 1771171
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223] imebidi nicheke tuu.Utaumia sana. Habari za Chato?
Mnaiwaza sana Chadema kuweni makini shauri yenu.Yaani bavicha wakisikia Kenya huwa wanailinganisha na Marekani,
Kila bavicha huwa anadream to live in Kenya.
So haishangazi wakifurahia.
Hata yule mgombea wao kila kitu alikuwa anajilinganisha na Kenya.Yaani bavicha wakisikia Kenya huwa wanailinganisha na Marekani,
Kila bavicha huwa anadream to live in Kenya.
So haishangazi wakifurahia.
Kabisa mkuu.. Tunademka nao tukiimba Samia mi 10 tenaTemu hii mitano tena wataiimba machadema na sio CCM tena!
Siku zinakwenda Kwa Kasi Sana!!
Haya msukuma wa Chato ndani ndani hukooo. Dah umeandika huku unakaza msuli wa shingo ukisindikiza na matamshi ya kisukuma basi ni balaa tupu.Magufuri aliwapigisha magoti akina Kinyatta,akuwapereka lkuru yetu,kawapeka kijiji chato huko na wakaufiata tena sio mara moja, Magufuri alikuwa kiboko ya manyangau,kapiga pini kwenye madini yetu sasahivi uchumi wa Kenya unapumlia mashine, sasahivi wanamshawishi Samia alegeze kamba kidogo.
Sawa wewe ni mzanzibari,tumewapeni nchi mtawale, lakini hauwezi kutuzuia kutoa maoni yetu kisa ni wasukuma.Haya msukuma wa Chato ndani ndani hukooo. Dah umeandika huku unakaza msuli wa shingo ukisindikiza na matamshi ya kisukuma basi ni balaa tupu.
Acha uongo!Magufuri aliwapigisha magoti akina Kinyatta,akuwapereka lkuru yetu,kawapeka kijiji chato huko na wakaufiata tena sio mara moja, Magufuri alikuwa kiboko ya manyangau,kapiga pini kwenye madini yetu sasahivi uchumi wa Kenya unapumlia mashine, sasahivi wanamshawishi Samia alegeze kamba kidogo.
Kuhutubia bunge la Kenya ni heshima?
Jamani kwanini chadema mnajidharau sana?
Mimi nilifikiri mnajidharau kwa wazungu tu kumbe hata kwa waafrika wenzenu toka hapo Kenya?
Any way,
Tuendelee kudemka tukisema Samia mi 10 tena. Na ccm mbele kwa mbele.