Rais Samia kuwa makini, Sukuma Gang na CHADEMA wanaweza kuungana

Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia
Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria

Hii inatupa somo kuwa, watu ambao ni mahasimu wakubwa ambao hata hukufikiria wataungana, wanaweza kuungana ikiwa malengo yao yanafanana

SG na Chadema malengo yao wote ni kumuondoa Samia madarakani 2025

Watu hawa pia siasa zao zinafanana, utawasikia wote wakilaumu serikali kwa bei za vyakula kupanda na kutaka ifunge mipaka

Utawasikia wote wakipinga tozo, kodi na mikopo,

Utawasikia wote wakipinga machinga kuondolewa barabarani

Sukuma Gang hivi sasa nao wameanza kudai Katiba mpya baada ya kundi lao kuondolewa madarakani

Samia anatakiwa kucheza karata zake kijasusi, anatakiwa kuhakikisha watu hawa wanaendelea kuchukiana na kupingana
Ama wakiungana wanaweza kuitoa ama kuijeruhi vibaya CCM
Cdm waungane na hao waliotafuta roho zao ?
 
Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria.

Hii inatupa somo kuwa, watu ambao ni mahasimu wakubwa ambao hata hukufikiria wataungana, wanaweza kuungana ikiwa malengo yao yanafanana.

SG na Chadema malengo yao wote ni kumuondoa Samia madarakani 2025. Watu hawa pia siasa zao zinafanana, utawasikia wote wakilaumu serikali kwa bei za vyakula kupanda na kutaka ifunge mipaka.

Utawasikia wote wakipinga tozo, kodi na mikopo. Utawasikia wote wakipinga machinga kuondolewa barabarani. Sukuma Gang hivi sasa nao wameanza kudai Katiba mpya baada ya kundi lao kuondolewa madarakani

Samia anatakiwa kucheza karata zake kijasusi, anatakiwa kuhakikisha watu hawa wanaendelea kuchukiana na kupingana. Ama wakiungana wanaweza kuitoa ama kuijeruhi vibaya CCM.
Kwa kazi nzuri anazofanya Mhe. Rais Samia, ni dhahiri hakuna wa kumtikisa 2025. 1. Kilimo agenda 10/2030 inakwenda kwa kasi (ajira na food security itakuwa uhakika) 2. Umeme utashuka bei baada ya JNHP kutema moto, 3. reli safi, 4. Investors wanakuja na ajira zitasambaa, 5. Watoto wanasoma vizuri nk. 6. Vyombo vya habari vinaandika nk. Tuombe utulivu tu katika international politics na global economy na wanaopewa dhamana za uongozi kuanzia watendaji kata, MaDC, DED, MaRC na Mawaziri watumikie umma kwa uzalendo.🙏🙏🙏
 
Hata kama waungane na mizimu lakini Rais Samia Suluhu 2025 lazima apite kwa kishindo maana watanzania tunamuamini na tunajua Tanzania ni salama na Samia may be aamue yeye asigombee na atakuwa ametuliza wengi maana kuja kupata kiongozi mchapakazi kama yeye ni hadith aisee
 
Kwa kazi nzuri anazofanya Mhe. Rais Samia, ni dhahiri hakuna wa kumtikisa 2025. 1. Kilimo agenda 10/2030 inakwenda kwa kasi (ajira na food security itakuwa uhakika) 2. Umeme utashuka bei baada ya JNHP kutema moto, 3. reli safi, 4. Investors wanakuja na ajira zitasambaa, 5. Watoto wanasoma vizuri nk. 6. Vyombo vya habari vinaandika nk. Tuombe utulivu tu katika international politics na global economy na wanaopewa dhamana za uongozi kuanzia watendaji kata, MaDC, DED, MaRC na Mawaziri watumikie umma kwa uzalendo.🙏🙏🙏
kwa maendeleo yoye haya alafu mtu anakuja na mawazo yake aliyosikia wavuta bangi wenzie wanaongea Pia ukiachilia mbali maendeleo hayo Rais Samia Suluhu ameboresha huduma zote za kijamiii ikiwemo upatikana wa elimu ya uhakika, miundombinu, afya pamoja na maji mpaka vijijini
 
Kabisa kabisa.🙏🙏🙏
 
Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria.

Hii inatupa somo kuwa, watu ambao ni mahasimu wakubwa ambao hata hukufikiria wataungana, wanaweza kuungana ikiwa malengo yao yanafanana.

SG na Chadema malengo yao wote ni kumuondoa Samia madarakani 2025. Watu hawa pia siasa zao zinafanana, utawasikia wote wakilaumu serikali kwa bei za vyakula kupanda na kutaka ifunge mipaka.

Utawasikia wote wakipinga tozo, kodi na mikopo. Utawasikia wote wakipinga machinga kuondolewa barabarani. Sukuma Gang hivi sasa nao wameanza kudai Katiba mpya baada ya kundi lao kuondolewa madarakani

Samia anatakiwa kucheza karata zake kijasusi, anatakiwa kuhakikisha watu hawa wanaendelea kuchukiana na kupingana. Ama wakiungana wanaweza kuitoa ama kuijeruhi vibaya CCM.
Leo ndo umeongea Point tangu Kuzaliwa,

Japo umetaja kundi ambalo ni la kufikirika.

Kanda ya ziwa wako pamoja, wanaipenda CDM na wanawapenda walioko CCM walioamini ktk utendakazi na Uzalendo wa Magu.

Kitu pekee kisichotakiwa Kanda ya ziwa ni CCM.
 
Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria.

Hii inatupa somo kuwa, watu ambao ni mahasimu wakubwa ambao hata hukufikiria wataungana, wanaweza kuungana ikiwa malengo yao yanafanana.

SG na Chadema malengo yao wote ni kumuondoa Samia madarakani 2025. Watu hawa pia siasa zao zinafanana, utawasikia wote wakilaumu serikali kwa bei za vyakula kupanda na kutaka ifunge mipaka.

Utawasikia wote wakipinga tozo, kodi na mikopo. Utawasikia wote wakipinga machinga kuondolewa barabarani. Sukuma Gang hivi sasa nao wameanza kudai Katiba mpya baada ya kundi lao kuondolewa madarakani

Samia anatakiwa kucheza karata zake kijasusi, anatakiwa kuhakikisha watu hawa wanaendelea kuchukiana na kupingana. Ama wakiungana wanaweza kuitoa ama kuijeruhi vibaya CCM.
Pia kumbuka Sa100 alishastukia njama zenu za kumgombanisha na CDM.

Hamtafanikiwa CCM mtandao.
 
Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria.

Hii inatupa somo kuwa, watu ambao ni mahasimu wakubwa ambao hata hukufikiria wataungana, wanaweza kuungana ikiwa malengo yao yanafanana.

SG na Chadema malengo yao wote ni kumuondoa Samia madarakani 2025. Watu hawa pia siasa zao zinafanana, utawasikia wote wakilaumu serikali kwa bei za vyakula kupanda na kutaka ifunge mipaka.

Utawasikia wote wakipinga tozo, kodi na mikopo. Utawasikia wote wakipinga machinga kuondolewa barabarani. Sukuma Gang hivi sasa nao wameanza kudai Katiba mpya baada ya kundi lao kuondolewa madarakani

Samia anatakiwa kucheza karata zake kijasusi, anatakiwa kuhakikisha watu hawa wanaendelea kuchukiana na kupingana. Ama wakiungana wanaweza kuitoa ama kuijeruhi vibaya CCM.
Bt pia kuungana Kwa CDM na kundi la kufikirika,

Kitampa nafuu, atapumua, vita na kuviziana ndani ya chama itapungua.
 
Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria.

Hii inatupa somo kuwa, watu ambao ni mahasimu wakubwa ambao hata hukufikiria wataungana, wanaweza kuungana ikiwa malengo yao yanafanana.

SG na Chadema malengo yao wote ni kumuondoa Samia madarakani 2025. Watu hawa pia siasa zao zinafanana, utawasikia wote wakilaumu serikali kwa bei za vyakula kupanda na kutaka ifunge mipaka.

Utawasikia wote wakipinga tozo, kodi na mikopo. Utawasikia wote wakipinga machinga kuondolewa barabarani. Sukuma Gang hivi sasa nao wameanza kudai Katiba mpya baada ya kundi lao kuondolewa madarakani

Samia anatakiwa kucheza karata zake kijasusi, anatakiwa kuhakikisha watu hawa wanaendelea kuchukiana na kupingana. Ama wakiungana wanaweza kuitoa ama kuijeruhi vibaya CCM.
Jamani,

Hao watu mnaowaita "Sukuma Gang" watafutieni jina jingine.

Wasukuma wengi hatupendi ujinga wa kuendesha siasa za kikabila, na hata Magufuli wengine hatukumkubali..

Kwa hivyo nawaomba muache kuunganisha jina la kabila lenye watu wengi sana Tanzania na siasa za kikabila ambazo wengi hatukubaliani nazo.

Mnapandikiza mbegu za ukabila na kujenga taswira kwamba Wasukuma wanapenda siasa za ukabila.

Kitu ambacho si kweli.
 
SG hawana uhusiano wowote na CDM wanaojitambua kuwa nchi hii sio ya mtu Fulani au kikundi ni ya WaTanzania na lazima wapewe haki zao za msingi.
 
Jamani,

Hao watu mnaowaita "Sukuma Gang" watafutieni jina jingine.

Wasukuma wengi hatupendi ujinga wa kuendesha siasa za kikabila, na hata Magufuli wengine hatukumkubali..

Kwa hivyo nawaomba muache kuunganisha jina la kabila lenye watu wengi sana Tanzania na siasa za kikabila ambazo wengi hatukubaliani nazo.

Mnapandikiza mbegu za ukabila na kujenga taswira kwamba Wasukuma wanapenda siasa za ukabila.

Kitu ambacho si kweli.
Mimi pia sipendi kulitumia Ila ndio hivyo limeshakua jina humu
 
Back
Top Bottom